Zama zimebadilika kuhusu watoto wetu

Black jew

Member
Sep 4, 2017
50
125
Jamani naona kama hizi zama za sasa zimebadilika na sio tena zile za kusema kuwa ukimpa mtoto hela ya kula shule inamaanisha kuwa atakuwa mwizi. Maana leo nimepita shule moja ya msingi nikaona mtoto mmoja kashika sahani ya muhogo huku kundi la watoto kama saba wanamuomba awape vipande.

Maono yangu ni kuwa kama kweli hatuna sawa ila ukisema ukimpa hela unamfundisha tabia mbaya sijui kama tuko sahihi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom