Ujenzi wa Maghorofa Magomeni - Kota uchunguzwe

Ujenzi wa Maghorofa Magomeni - Kota uchunguzwe

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
141,763
Reaction score
284,778
Wakuu natanguliza salamu

Bila shaka mnakumbuka hili sakata la waliofukuzwa magomeni kota na baadaye Dr Magufuli akaamua zijengwe ghorofa na wahanga wapewe kipaumbele.

Sasa kwa vile imebainika kwamba ujenzi wa ghorofa za bei rahisi haiwezekani , kutokana na ushahidi mwanana wa hostel za UDSM , nashauri ili kuepusha maafa ujenzi wa maghorofa haya uchunguzwe
 
Ni Kweli mkuu hata zile flyovers zichunguzwe
 
Na kiwanja cha ndege chato nacho kichunguzwe

Swissme
 
hata barabara ya morroco -mwenge ichunguzwe ishaanza kutengeneza mashimo
 
wenyewe watakwambia ukimchunguza sana kuku huwea kumla funika kombe mwana haram apite
sidhani kama kwenye flyovers kutakua na ujanja ujanja
 
Nakumbuka mtukufu aliwaahidi wale wakazi wa magomeni kota kuwa magorofa yangejengwa ndani ya miezi mitatu watahamia ila hadi sasa hawajachimba hata msingi zaidi kuweka yale mabati tu!
 
Back
Top Bottom