Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habarini, Hivi karibuni kumezuka ongezeko la ushoga nchini Tanzania. Ripoti mbalimbali zinaonesha kuwa jiji la Dar-es Salaam lina idadi kubwa ya watoto waliolawitiwa. ushoga huzaliwa, hutunzwa na...
3 Reactions
21 Replies
9K Views
Wandugu, Kampeni ya Uzalendo imezinduliwa rasmi Leo Dodoma sasa angalizo kama ndio mtindo huo wa kutaja CCM au CHADEMA tutashuka mapema kwenye hiyo safari ya UZALENDO.
0 Reactions
0 Replies
644 Views
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion, Alex Msama amesema kuwa wameanzisha rasmi zoezi la ukamataji maharamia wa kazi za wasanii amabo ni wauzaji wa filamu feki, ambapo zoezi hilo linatrajiwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
“Rushwa ni adui wa haki, sitopokea wala kutoa rushwa” Zamani nilifikiri rushwa huondoka watu wakipata mishahara inayowatosha. Kwa sasa nimegundua hakuna nchi ambayo watu hasa walala hoi...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wakuu nmeshuhudia hii kitu mara nying sana,utakuta watu wanarumbana,mara gafla mtu anachomekea tujineno twa ngeli,hahahahahaha,hua nashikwa na kicheko kikal,..ni kwamba unaonyesha msisitizo ama??
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wadau nimekuwa nikifikiria hapa Hivi mbona kila kukicha wadada mnatupiga mizinga? kisa vyuma kukaza au! sasa wadada Katika kulegeza hivi vyuma vilivyokazwa kisawasawa lazima muwe wabunifu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
TUMALIZE UBISHI TANGAZO; "Serikali yetu inaanza ukaguzi wa vyeti vya Watumishi wa Umma mara moja." = JPM HOTUBA; "Uhakiki huu wa vyeti haukuhusisha VIONGOZI WA KISIASA ambao ni Mawaziri...
2 Reactions
13 Replies
6K Views
Jana Alhamisi usiku nilitizama kipindi cha MALUMBANO YA HOJA kinachorushwa na ITV. Mada ya jana ilihusu UZALENDO Tanzania etc etc. Walialikwa wasomi wabobezi : Dr Lwaitama, Dr Onesmo Kyeuka na...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Mahakama ya Wilaya Bukoba imemhukumu Emmanuel Cleophace (20) kwenda jela kwa miaka 30 kwa kosa la kumuoa mwanafunzi aliyekuwa amehitimu kidato cha nne anayeitwa Adilia Alistides(18). Mwanafunzi...
0 Reactions
30 Replies
7K Views
Kama Mwananchi na Mtanzania riba inayotozwa na Mabenki hapa nchini kwa wananchi ni KUBWA SANA. Mfano hai mtu anapokopa anatakiwa kulipa riba ya 19% mpaka 22% wakati mwananchi huyo huyo akiweka...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Awali ya yote napenda kumpa pongezi kubwa Mh Rais kwa kazi nzuri sana anayoifanya hapa nchini,sitazungumza sana mazuri mengi kwa kua sikuja kuyasema hayo kwa leo,nipo hapa kutoa maombi kwake na...
1 Reactions
9 Replies
5K Views
Kwa muda mrefu kibamia limekua neno la huzuni kwa wanaume. Ukiambiwa au usiambiwe bado hilo neno hutokea. Ukipata zigo ukala ukahisi halifurahii moja ya wazo huwa labda ni kibamia... mijadala ya...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwanzoni mwa mwezi huu niliweka uzi wa kutaka kujua watoto waliopotea kibiti na hawajulikani waliko lakini aidha uzi haukuload sawasawa au uliondolewa. Kwa walio karibu na Siro au Kibiti...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tusiilaumu Serikali ya ccm kwa kukandamiza haki na kutumia polisi kujiimarisha kwenye Dola , hii ndiyo hali ya Dunia sasa hivi Watawala hawatakiwi na ina bakia kutumia nguvu tu. Hapa chini...
0 Reactions
1 Replies
862 Views
Wachina pamoja na kula vyakula vingi vya ajabu kama nyoka,mende na punda.Hii tabia yao ya kumpasua mbwa mwenye mimba ili eti watoe watoto kwa ajili ya kitoweo inatia kichefu chefu.Wao wanaamini...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Siri tajwa hapo juu inahusika Kwa kawaida kila mtu hupenda rangi fulani sana kuliko nyingine, inaea kua moja tuu ukatosheka au zaid ya moja, Museveni kwa miaka mingi amekua akivutiwa sana na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natumaini wote mko salama, kama nlivyosema hapo juu, naomba kujua mtandao wa smart hivi bado upo na kama upo ofisi zao zipo wapi kwa hapa DSM? nahitaji laini yao.
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Mwaka 1995 Bukoba Mpango wa kufungua Bukoba University Chini ya Askofu wa KKKT figisu zilitoka kwa meya wa mji wa kipindi hicho na baadhi ya watu wanaojifanya wanafundisha Middlesbough University...
6 Reactions
47 Replies
5K Views
natumaini wazima . Ndugu zangu kuna mtu kanifata kuniomba nimsaidie kuandika barua ya udhamini wa kipindi cha television sasa kiukweli ni uzoefu mpya kabisa kwangu ila nafahamu hapa kuna watu...
1 Reactions
5 Replies
16K Views
Naangalia azam two wabunge Msigwa na Mtolea jinsi wanavyojibu hoja Kwa uhakika.hongereni sana kwa kuwa na uwezo mkubwa wa kuchambua mambo
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…