guzman_
JF-Expert Member
- Jan 27, 2016
- 1,277
- 2,443
Wadau nimekuwa nikifikiria hapa
Hivi mbona kila kukicha wadada mnatupiga mizinga? kisa vyuma kukaza au! sasa wadada Katika kulegeza hivi vyuma vilivyokazwa kisawasawa lazima muwe wabunifu.
Wakati chura wetu pale kihansi vikihitajika kote duniani mnaonaje mkaanza kufuga chura.
Mi naona hii ni kama fursa hasa kwa wadada. Amini usiamini ukifuga chura huwezi kosa kula unless utake tu mwenyewe kwa vile soko lake lilivo.
Kuna hawa chura wenye ngozi nyororo wanashinda kwenye maji sijui yaani ukiwashika hivi wanateleza mpaka raha hawa soko lake huwezi maliza.
Wadada kama huna kazi hii hamuoni kama fursa nzuri.
Asalam Alekhum