Hiv kwanin mswahil akikerwa mahala flan public hua anajifanya kuongea kiingereza?

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
10,087
15,961
Wakuu nmeshuhudia hii kitu mara nying sana,utakuta watu wanarumbana,mara gafla mtu anachomekea tujineno twa ngeli,hahahahahaha,hua nashikwa na kicheko kikal,..ni kwamba unaonyesha msisitizo ama??
 
Lugha ya kiingereza huwa inamaneno mafupi ambayo ukiweka kwa kiswahili inakuwa maana ndefu sana.....
Mfano mtu anakwambia....Idiot,Moron etc...ni neno moja tu lkn ukitafsiri kwa kiswahili ni hatar
 
Ahhh wap,zisi zati nyiiing,weng mnatakaga kuinyesha uwezo tuu.hakuna kingne.tusi ni tusi
 
Wakuu nmeshuhudia hii kitu mara nying sana,utakuta watu wanarumbana,mara gafla mtu anachomekea tujineno twa ngeli,hahahahahaha,hua nashikwa na kicheko kikal,..ni kwamba unaonyesha msisitizo ama??
Hahhaha Ila kuna ukweli aisee
 
Back
Top Bottom