Msafara wa Rais Magufuli wagonga mtu Dodoma

Msafara wa Rais Magufuli wagonga mtu Dodoma

Muda si mrefu uliopita, msafara wa Mheshimiwa Rais kuelekea Uwanja wa Jamhuri Dodoma kwa ajili ya maadhimisho ya Miaka 56 ya Uhuru, umegonga mtu, na kufariki papo hapo.

Mungu ailaze Roho ya marehemu Mahali panapostahili.
Kagongewa wapi..?
Amegongwa katika mazingira gani..?
Nini kilifanyika baada ya ajali hiyo...?
Ebu weka picha....
 
Hakuna chombo cha usafiri barabarani kinachoitwa msafara.
Kama ni kweli marehemu aligongwa, itakuwa ni gari au pikipiki ndiyo iliyomgonga.
Swali ni je, una uhakika hiyo gari au pikipiki ilikuwa sehemu ya msafara wa rais?
Hata hivyo apumzike panapostahili marehemu.
 
Kagongewa wapi..?
Amegongwa katika mazingira gani..?
Nini kilifanyika baada ya ajali hiyo...?
Ebu weka picha....
1. Kagongewa MBELE KABISA YA JENGO LA CCM.
2. Kagongwa barabarani. Alitaka kuvuka.
3. Kilichofanyika baada ya ajali ni kumfunika na kupeleka mochwari. Msafara hauwezi kusimama kiusalama zaidi.
4. Siwezi kupiga picha maiti mkuu. Hta hvy kila mmoja alibaki anashangaa kwa kilichotokea.
 
Hapo karibu na Nyerere skwea? Au jengo jipya makulu?
 
1. Kagongewa MBELE KABISA YA JENGO LA CCM.
2. Kagongwa barabarani. Alitaka kuvuka.
3. Kilichofanyika baada ya ajali ni kumfunika na kupeleka mochwari. Msafara hauwezi kusimama kiusalama zaidi.
4. Siwezi kupiga picha maiti mkuu. Hta hvy kila mmoja alibaki anashangaa kwa kilichotokea.
Kama kagongewa pale mbele ya CCM mkabala na Duka la samaki pembeni kwawapemba wanaouza misosi nyakati za jioni.........
Hapo kosa ni la marehem, sababu hapo kwenye hiyo barabara hakuna zebra zaidi ya zile za karibu na mataa
 
Huenda alitaka kujitoa muhanga kumdhuru Rais! Gari ni silaha inayotembea, kihere here chake ndicho kimemponza. Hata hivyo nchi ina watu milioni 56 waliobaki na wengine wanaendelea kuzaliwa kila siku. Kila mtu awe responsible na maisha na usalalma wake!

Dah umenishangaza kweli wewe ni KATILI. Huna moyo wa kibinadamu.
 
Marehemu kajitakia kifo, kawaida msafara wa Rais hauendi kienyeji, lazima kuwa na tahadhari ikiwa ni pamoja na kuzuia vyombo vingine vya moto na hata watumiaji wengine w barabara... marehemu hakuobey hayo yote.
 
Back
Top Bottom