interconsult
Senior Member
- Dec 8, 2017
- 112
- 154
Je ni sahihi kikatiba na sheria za tanzania, raisi kusamehe waliohukumiwa kunyongwa. kama ni sahihi nin mtizamo wenu wajamvi inapotokea ukakutana na mtu aliyeua mpendwa wako alaf eti kaachiwa kwa msamaha wa raisi.