Black jew Senior Member Joined Sep 4, 2017 Posts 121 Reaction score 223 Dec 9, 2017 #1 Wakuu kama kuna kanda hatujuii kuita majina basi sisi wa mbali na bahar tunaongoza mfano Henry tunaita henure Cliff tunaita kilifu Frank - furee au furankii Mengine mtanisaidiaa
Wakuu kama kuna kanda hatujuii kuita majina basi sisi wa mbali na bahar tunaongoza mfano Henry tunaita henure Cliff tunaita kilifu Frank - furee au furankii Mengine mtanisaidiaa
ELI-91 JF-Expert Member Joined Aug 24, 2014 Posts 3,583 Reaction score 9,683 Dec 9, 2017 #2 Watu hawataki shida na majina yenu ya kizungu yasiyo tamkika, ni mwendo wa Christian = Kili Grace = Gile Frank = Fure Godfrey = Godi N.K
Watu hawataki shida na majina yenu ya kizungu yasiyo tamkika, ni mwendo wa Christian = Kili Grace = Gile Frank = Fure Godfrey = Godi N.K