Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,649
- 5,079
Afya ni kitu cha msingi sana katika maisha ya binadamu.
Tumeshuhudia hata wanasiasa wakifanyia kampeni sekta hii ni namna gani wananchi watapata huduma nzuri ya afya bila gharama kubwa. mfano Obama care kule Marekani.
Hapa kwetu tunamifuko kadhaa ambayo wanachama huchangia ama mwajiri hulipia gharama hizo.
Ubora wa hizi bima za afya na namna zinavyokidhi matarajio ya wanachama wake ndio hasa kimenisukuma kuliweka hili jamvini,ili tuitafakari hizi bima.
Baadhi ya hiyo mifuko ya bima ni hii hapa
1.NHIF (Hili ni dubwasha kubwa na kongwe)
2. AAR
3. STRATEGIES
4.BRITAM
5. NSSF (ni fao ktk mfuko wa hifadhi ya jamii bila shaka)
Imekidhi matarajio?
Ni mingi tupunguze ibaki 2 tu?
Tuwekeana hapa faida na changamoto zake huku tukiutambua mfuko bora zaidi wa bima ya afya.
iliyosahaulika mods waijazie hapo.
Taifa lenye uhakika wa afya kwa raia wake ndilo hukua zaidi kiuchumi.