Hii ni Roho Mbaya na Ubaguzi Wa Wazi Kabisa

King Ngwaba

JF-Expert Member
May 15, 2016
15,955
2,000
Huyu Mjinga Katika Mtandao Wa Facebook Kwa Makusudi Afurahia Vifo Vya Wanajeshi 14 Wa Jeshi la Wananchi Tanzania Vilivyotokea Huko Congo Kwa Kudai eti Ni Wapemba Kwahiyo Wamekufa Kwa Uzembe Wao...
Sasa Sijui Wamelekwa Huko na Wapemba au Tanzania?
Na Amir Jeshi Mkuu Anayewasimamia Ni Mpemba au Ni Rais Magufuli?
Sio Fresh Hata kidogo..

IMG_20171211_095133.jpg

IMG_20171211_095319.jpg

IMG_20171211_095207.jpg
 

uttoh2002

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
5,554
2,000

Copenhagen DN

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
6,054
2,000
Dunia msongamano kasema baba nimeonaleo nakubali mie...
Wengine upendelea kufurahia wanaposikia Fulani kaafaa oohh

Kufa kwa binadamu upangwa Na Mungu namuomba mwenyezi anipe maisha ohoo

Ndala kasheba huyo aliumba huu wimbo Dunia msongamano mshua alipokuwa hai aliupenda Sana.

Na huyu huyu ndala aliimba Marashi ya Pemba.

 

reyzzap

JF-Expert Member
Oct 3, 2014
5,410
2,000
Hahaa namwonea huruma, hata kama si jina lake ni simple tu kumpata, tena sana sana sana kumpata, kuanzia kwa friends, profile info, IP address, ISP, post zilizopita, location, events sijui chats, huyu jamaa hana pa kuponea labda wasijue huu upuuzi wake, ila wajeda hawawez kumvumilia.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom