Maafisa kumi na sita kutoka serikali ya Senegal wako nchini kwa ziara ya mafunzo ya namna ya uendeshaji wa mradi wa mabasi yaendayo haraka jijini Dar es Salaam kabla ya kuanza kutekeleza mradi...
Wakazi wawili wa Dar es Salaam wamekamatwa eneo la Kilambo mkoani Mtwara lililopo mpakani na nchi ya Msumbiji wakiwa na pakiti zenye uzito wa kilo 64 za dawa za kulevya aina ya heroin...
Utawala wa ukoo wa Gala Galauka chini ya Mtukufu ADUMBA umeinajisi ardhi ya Mbambadu na kwa jinsi hiyo yeye ndiye yeye, ana uwezo wa kufanya maamuzi ya kumpendelea yeye binafi hata kama kwa...
Habari wadau!
Nimehudhuria matukio kadhaa ya kijamii; nimegundua tabia mbaya sana inaikumba Jamii yetu juu ya wijio huu Wa sayansi na teknolojia (matumizi mabovu ya simu za kamera)
Hili siyo RAIA...
Nimeamua kulieleza hili kwa masiktiko makubwa Sana kuhusiana na bank hii upande wa kitengo cha huduma kwa mteja. Nitaeleza kwa kifupi sikitiko langu.
Siku za nyuma nilifanya muamala Katika bank...
Usiku wa wakuamkia leo vibaka wamevamia nyumbani kwangu na kuiba simu na Tv na vitu vingine ila simu IMEI namba yake ninayo, je naweza kuwapata wezi wangu ila mimi sipo alikuwepo mwanamke na...
VIJANA WATATU MTANZANIA, MKENYA NA MRWANDA WALIKAMATWA NA DAWA ZA KULEVYA HUKO CHINA. KAMA TUJUAVYO SHERIA ZA CHINA UKIKAMATWA NA HIZO BIDHAA BASI WEWE NI MAREHEMU (UNAUWAWA). BAADA YA JAMAA...
Leo mamlaka ya hali ya hewa ilitangaza kutakuwa na upepo mwingi. Na naona kama hapa Kigamboni, upepo ni mwingi sana.
Malalamiko yangu,ni kuhusu Dish LA Azam TV ambalo limekuwa likisababisha Picha...
Mwezi uliopita nilijiunga na kifururushi cha Cheka kupiga mitandao yote cha mwezi 1 sh 15000 lkn Kila nikawa nikipiga cm naambiwa salio kwenye CM yk halitoshi.Nikapiga customer care zaidi ya Mara...
Habari zenu wana jf?Leo kupitia clouds fm radio kipindi cha kuperuzi magazeti nimesikia habari ya walimu pamoja na familia zao kujikuta wamelala nje wengine kunyolewa nywele kichwani wengine...
Habarin za saa hizi wakuu
Nimekuja hapa nipate ushaur wenu na mawazo pia. Mimi ni kijana ambaye nimeajiriwa katika sekta binafsi kampuni flani ya wahindi ambayo ni kubwa hapa Tanzania na nje pia...
Hawa jamaa wa UBER wapo vizuri sana kwa kujali muda, bei na huduma nzuri kwa mteja. Imagine nimewapigia waje kunichukua Bunju kwenda Julius Nyerere International Airport nimelipa 30,000/= Tsh...
Ndugu wana jukwaa nawaombeni msaada wa kimawazo kuhusu hii bomoa bomoa kupisha reli,nyumba yetu ya urithi ipo ilala bungoni mwishoni kabisa karibu na reli ya kati inapopita,nyumba yetu...
Wadau
TFDA kwa kushirikiana na TRA wamekifunga kiwanda cha kuzalisha pombe kali cha (TDT) kilichopo eneo la Kwa Alfonce Moshi pamoja na kuwaweka mahabusu watendaji watatu wa kiwanda hicho...
wanafunzi wa vyuo vingi Leo wamepelekwa kwenye mkutano wa ccm kupewa kadi za ccm,imebidi baadhi ya vyuo masomo yahairishwe mfano hiki Chuo cha DECA ambae mkuu wake ni kada mtiifu wa ccm ndo...
Habari za siku ndugu zangu
natumaini ni wazima
Kuna utafiti kidogo nataka nifanye kama ambavyo umeona kichwa cha habari hapo juu
Usipite hivi hivi hii mada inatugusa wote watumiaji wa hii forum
Ebhana ndugu zangu nilikuwa na shida na mtu yeyote anayemjua mtu wa masoko wa total (t) ltd kuna sheli yao moja iko mkoa flani ina mwezi naona imefungwa soo kama hiyo nafasi imeachwa nitafute...
Habari zenu jf members
Napeda kujua baada ya mifuko ya hifadhi ya jamii kuunganishwa na kubakia nssf, vipi kuhusu ajira za watumishi wa ppf,,lapf na mifuko mingine itakayounganishwa?
Je ajira...
Hili wazo niliwahi kulifikiria mara kadhaa.... na ndugu yangu Consigliere naye ameweza kulizungumzia sehemu flan kuhusiana na vituko na vitimbi vya mlimani city.
1. mlimani city ni sehemu pekee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.