Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,606
- 1,956
Wadau
TFDA kwa kushirikiana na TRA wamekifunga kiwanda cha kuzalisha pombe kali cha (TDT) kilichopo eneo la Kwa Alfonce Moshi pamoja na kuwaweka mahabusu watendaji watatu wa kiwanda hicho.
Taarifa iliyotolewa na msemaji wa TFDA inataja sababu za kukifungia kiwanda hicho kuwa ni kufanya kazi katika mazingira yasiyoridhisha, uchafu sehemu za kuoshea chupa, Wafanyakazi kukosa vyeti vya kupima afya zao pamoja na Wafanyakazi wa kike kutovaa kofia.
Kiwanda hicho kimepewa muda ili kurekebisha kasoro hizo kabla ya ukaguzi mwingine kufanyika.
Source: MCL