Naona Takukuru ya sasa imenoa meno!
Mwanasheria wa Baraza la Taifa la Hifadhi ya Mazingira(NEMC), Bernard Kongola na Polisi wawili wa kituo cha Mbweni wanashikiliwa na TAKUKURU kwa mada ya kuomba...
Naibu Waziri wa ujenzi Elias Kwandikwa awataka wakandarasi kuwa waadilifu na wazalendo,pia aamuru kuvunjwa jengo la ghorofa lililojengwa jirani na uwanja wa ndege.
Ukarabati wa ujenzi wa barabara...
Habari za asubuhi wana JF
Kwa masikitiko kabisa naomba niwasilishe hii hoja chungu. Taifa letu limejaa watu wanafki na wenye husda. Ni jambo la kawaida kabisa kuona watu wakimshangilia kiongozi...
Sikio la kufa kweli haliskii dawa!
Kuna jamaa anaitwa Deus ambaye ni miongoni mwa wanufaika wa msamaha wa Rais Magufuli kafanya balaa tena huko mtaani baada ya kuachiwa hivyo kapigwa tena nyundo...
Binafsi nafahamu nafahamu miradi kadhaa ya NSSF ambayo bila shaka inawaingizia mapato ya uhakika na ya sio na shaka kwa shirika la NSSF; mfano:
1.) Michango ya wanachama
1.1) Daraja la Kigamboni...
Habari za mihangaiko wanajamii wenzangu.
Kama mnavyojua Watanzania wenzangu tunaomboleza msiba ambao sio mdogo.
Labda nieleze moja kwa moja.
Leo mida ya mchana kuna mwanajeshi wa Congo (FARDC)...
Chama cha Walimu Tanzania kilianzishwa mwaka 1993 kwa lengo la kutetea haki za walimu Tanzania,Mwalimu yoyote by default anakua ni mwanachama wa chama cha Walimu Tanzania (CWT).
Kila mwezi walimu...
Uzi maalumu kwa wana JF walio zaliwa Mkoa wa Tanga hata kama haupo Tanga ila Tanga ndio Nyumbani basi husika Hapa,Dhumuni ni kufahamiana.
Tanga ndio mji unaoendelea kwa kasi Tanzania akiachana...
Fidelis Butahe, Mwananchi mwananchipapers@mwananchi.co.tz
Dar es Salaam. Unaweza kusema mwaka 2017 ulianza na aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Mhandisi...
Siyo siri kuna mambo ukiyasikia unatamani kuziba MASIKIO usiyasikie unatamani usizungumze na mtu kwa sababu unazungumza na MTU anakuambia mambo Yale Yale usiyopenda kusikia una pita sehemu...
Ni power structure ipi ni nzuri kudhibiti Rushwa?
These Are the 15 Most Corrupt Countries in the World
Corruption and economic turmoil often go hand-in-hand. In western nations, we often see...
Inasikitisha sana wiki ya tano sasa maji ya Moshi UWASA sio salama kwa afya wala kutumika kwa matumizi ya nyumbani. Nimejaribu kufuatilia bila jibu. Maji yanatoka kwenye bomba yakiwa na tope...
MATUKIO ya watu kujiua yamekuwa yakiripotiwa mara kwa mara katika maeneo mbalimbali nchini, ni matukio yanayoshtua na kuogopesha mno pindi tunapoyasikia.
Kwa sababu si jambo rahisi hata kidogo...
Tunapenda sana kujilinganisha na wengine, na kutwa kusema kwa nini hatuko kama USA, EU au sijui Uchina na Ujapani, lkn kuna jambo moja huwa hatutaki kulikubali na huwa tunalificha chini ya kapeti...
Dar es Salaam. Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema kutojitokeza watu kuitambua miili ya wanaume watatu iliyokutwa pembezoni mwa Bahari ya Hindi katika ufukwe...
Habari wana bodi.
Kirushi changu cha azamu kimeisha ila naona kuna channel moja ya tbc1 tu, hivi hili agizo la juzi lililotolewa pale TCRA lilikuwa geresha, au?
Hivi ni kwa nini tuko hivi? Mara nyingi ni kama Maisha yetu yote yamezungukwa na unafiki na visasi, wakati mwingine huwa nafikiri huwa hatuna cha kufanya isipokuwa kukaa na kusubiri Binadamu xyz...
Habari wa wandungu? Format ya maisha kwa kweli imebadilika hebu tubadilishane experience itokanayo na maisha kubadilika i mean vyuma kukaza hapa nchini.
Kumekuwa kukitokea vioja mbali mbali huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.