Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wadau naomba mwenye ilani ya CCM 2015 anitupie nione yanayotekelezwa
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hakuna nchi Dunia hii iliyowahi kuandika Katiba mpya bila ya kuwa na crisis, na TZ haiwezi kuwa tofauti hivyo acheni kujidanganya, halijawahi kutokea na halitakuja kutokea, kusubiri Katiba mpya TZ...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwanza kabisa natanguliza shukrani zangu kwenu, na bila kupoteza muda twende kwenye mada. Nahitaji msaada kwa yeyote anajua ni bus gani ziko poa kwa safari ya DSM-MBY, kwasab nasikia saiz vimeo ni...
0 Reactions
0 Replies
530 Views
MAMIA ya wakazi wa Kijiji cha Buzanaki kata ya Nyamarimbe katika mkoa wa Geita, wamesherehekea kuuawa kwa fisi 15 hadi jana, katika matukio tofauti wiki moja baada ya mtoto wa miaka sita kuliwa na...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Bariadi na Mhasibu wa Halmashauri ya Hai wanashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoani Kilimanjaro kwa tuhuma za kuaandaa nyaraka za...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Habari wapendwa katika bwana Mungu, natumaini hamjambo, Bila kupoteza muda naomba niende kwenye lengo la huu Uzi kwa wale vijana tulio kuwa tunajitambua miaka ya 90 ,ambapo inatupasa tujikubushe...
5 Reactions
91 Replies
10K Views
Maeneo ambayo hayajapimwa sasa ruksa kupata kibari cha ujenzi. LAKINI Kutoka kwa wananchi mda Wa kusubiri bado ni kero! Utaratibu huu mpya ulioanza hivi karibuni Wa kutoa vibari vya ujenzi...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari ndugu zanguni. Nataka kwenda huko Libya kutetea haki za binadamu wale wanaoteswa, Mimeshakipanga kwa kila kitu. Naombeni mawazo yenu. Asanteni.
1 Reactions
63 Replies
6K Views
Muheshimiwa Waziri anayehusika na uchukuzi tafadhari tunaomba muifutie leseni hii kampuni ya Fastjet maana imejaa utapeli wa kiwango cha hali ya juu sana, kuahirisha safari kwao sasa hata kwa...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Jamani next week nataka kusafiri toka Mwanza kwenda Arusha,naulizia basi zuri luxury pamoja na nauli zao,ikiwezekana nipate na number za Agent wao!saidieni wanajanvi
0 Reactions
34 Replies
15K Views
Naomba kuweka wazi mimi siyo mtaalamu wa kupanga miji. Lakini kwa kuangalia jinsi matumizi ya njia kuelekea upande mmoja yalivyowekwa hapa jijini utaona wazi kabisa kuwa yanachangia msongamano...
1 Reactions
2 Replies
791 Views
Viongozi wa Serikali wanapaswa kutambua kwamba viongozi wa CCM ndio hasa wanaostahili. Kiongozi wa Serikali wa cheo chochote anawajibika kwa viongozi wa CCM,” alisema Rais Magufuli na kuamsha...
0 Reactions
0 Replies
754 Views
Habati zenu Wakuu kama maelezo yanavyo jieleza hapo juu wakuu ninauitaji wa leseni ya udereva daraja d je nikiipata nitaweza endesha gari la mizigo yani canter Asanteni.....
0 Reactions
16 Replies
7K Views
Zaidi ya tani miatatu za Korosho ghafi kutoka chama kikuu cha ushirika Lindi mwambao zimekosa soko kutokana na kukosa ubora unaostaili hali inayotishia kufukuza wanunuzi wa zao hilo ambao wengi...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habarini wakuu! Naombeni msaada wa kujua nitumie njia gani ya kukausha miti ya jirani yangu, kwa kweli kwangu ni kero halafu sio mstaarabu, hata nikimuomba mimi niipunguze tunasumbuana bila sababu...
0 Reactions
42 Replies
10K Views
Kwanza nilifurahishwa sana na uamuzi wa kujenga Hosteli kwa haraka kwani hitaji lipo na ni kubwa tu, uamuzi ukafanyika, hatua zikachukuliwa na Hosteli kujengwa na kukamilika kwa wakati na sasa...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
  • Closed
Naomba nianze kwa kudeclare interest kuwa hii sio Mada ya kukashfu dini. Mi napenda kufikisha malalamiko kwa wahusika pitia JF. Mwanza mtaa wa Lumumba imezuka hii tabia ya kufunga barabara muda...
47 Reactions
428 Replies
54K Views
Jana nilipoondoka nyumbani asubuhi niliacha wampigiesimu mtu anayetuletea maji huku mbezi luis. Niliporudi jioni nilishangaa kukutaboza la maji la jeshi na dereva wake askari wa jeshi akiwa na...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Inasikitisha sana kwa kweli , tazama video
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Back
Top Bottom