Wizi huu mnaonifanyia Vodacom TZ hauvumiliki

chazi piere

Senior Member
Jun 12, 2016
121
65
Mwezi uliopita nilijiunga na kifururushi cha Cheka kupiga mitandao yote cha mwezi 1 sh 15000 lkn Kila nikawa nikipiga cm naambiwa salio kwenye CM yk halitoshi.Nikapiga customer care zaidi ya Mara 3 wakaniambia "tatizo lako tunalishughulikia" lkn nikakaa mwezi mzima mpk kifururushi kikaisha muda wk bila ttz kuisha. Leo tena jioni hii nikajaribu tena kununua kifururushi cha mwezi mitandao yote cha 10000,nimejaribu kupiga CM tena naambiwa salio langu halitoshi niongeze hela. Jamani nyie Vodacom wizi huu umezidi nimeshindwa kuvumilia nipeni Haki yangu tena nihame kbs na hili limtandao lakisanii.
 
Mimi kingine ninachojua kabisa kuhusu VODACOM ni kwamba huu muda wa maongezi wanaotupa wa kupiga hazifiki kabisa sekunde wanazozitaja na wala messages wakikuambia 100 ujue ni 40.

Nina uhakika na hili.

Mfano kuna hizi za buku kama Jimwage na Cheka ya sekunde 1000 ama Pindua pindua ya units.

Ni Wajanja wajanja tu na wao.

Hawaaminiki kwa kweli.
 
Sijawai ibiwa na voda!
Wananikera tu gharama zao za mpesa
 
Hii mitandao ya tz yote ni pasua kichwa mkuu
Mm natumia tgo na zantel ila hawa zantel ndo hawafai hata kidg
 
Katika eneo ambalo linatakiwa kutupiwa macho zaidi ni hayo makampuni ya simu, yanaboa sana
 
Back
Top Bottom