Malalamiko kuhusu dish la Azam TV ambalo limekuwa likisababisha picha kuganda kwenye TV

kunze

JF-Expert Member
Nov 22, 2016
398
469
Leo mamlaka ya hali ya hewa ilitangaza kutakuwa na upepo mwingi. Na naona kama hapa Kigamboni, upepo ni mwingi sana.

Malalamiko yangu,ni kuhusu Dish LA Azam TV ambalo limekuwa likisababisha Picha kuganda kwenye TV, je,ni kwangu tu au hali hiyo ni kutokana na kushindwa kuhimili Kwa mabadiliko hayo?

Azam TV upande Wa ufundi,njooni mtuondolee kero hii.

Wasalaam watumiaji wote Wa Azam dishes
 
ndo wako hivyo kila wateja wengi picha zao zinaganda tofauti na dstv cjui tunakosea wapi
 
Usichukulie tatizo lako kama ni tatizo linalowapata watumiaji wote wa Azam tv. Mchawi wako ni fundi wako tatizo mnapenda sana vishoka kwamba wana bei rahisi hayo ndo matatizo yake.Mtafute fundi wa uhakika akumalizie hilo tatizo.
 
Dish lako halipo sawa , likipigwa na upepo mwelekeo wa LNB hubadilika hivyo hupelekea kuganda au picha kupotea na ujumbe wa NO SIGN kujitokeza. Ni kawaida sana kupotea kwa Sign mawingu yanapotanda lakini hiyo hali baada ya muda huondoka. Kama tatizo lako limekuwa la kudumu tafuta fundi akurekebishie tu
 
Leo mamlaka ya hali ya hewa ilitangaza kutakuwa na upepo mwingi. Na naona kama hapa Kigamboni, upepo ni mwingi sana.

Malalamiko yangu,ni kuhusu Dish LA Azam TV ambalo limekuwa likisababisha Picha kuganda kwenye TV, je,ni kwangu tu au hali hiyo ni kutokana na kushindwa kuhimili Kwa mabadiliko hayo?

Azam TV upande Wa ufundi,njooni mtuondolee kero hii.

Wasalaam watumiaji wote Wa Azam dishes
Trust me nikwako tu,,utakuwa hujafunga vizuri
 
Usichukulie tatizo lako kama ni tatizo linalowapata watumiaji wote wa Azam tv. Mchawi wako ni fundi wako tatizo mnapenda sana vishoka kwamba wana bei rahisi hayo ndo matatizo yake.Mtafute fundi wa uhakika akumalizie hilo tatizo.
Aliyenifungia ni wakala mkuu Wa Kigamboni. Siyo kishoka kaka.
 
Weeeee asikudanganye mktu nimetumia startimes sina ham nayo kuganda ndio asili yao
Star times siwezi hata kulishika dish maana walinitesa sana enzi za kombe la dunia Afrika Kusini,Kwa ujumla usiwataje kabisa
 
Back
Top Bottom