koba lee
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 964
- 1,552
Habarin za saa hizi wakuu
Nimekuja hapa nipate ushaur wenu na mawazo pia. Mimi ni kijana ambaye nimeajiriwa katika sekta binafsi kampuni flani ya wahindi ambayo ni kubwa hapa Tanzania na nje pia.
Niko katika kampuni hii kwa miaka mitano mpk sasa, lakini ndugu zangu mnajua wahindi mishara yao japo kaz ninayofanya ni kubwa sana ya kutumia akili na ndo msingi wa hii kampuni,
Nafanya kaz zaid ya masaa nane kwa siku lkn shida kubwa ni huyu boss wng,ni mtu flan ambaye hajali kile ninachokifanya, kitu kidgo ashaliamsha dude, yeye ni kufoka kitu kidogo ashakua mbogo, ma-managers wenzie wote tunaheshimiana mpaka mabosi wake waliojuu wanaheshimu kitu ninachokifanya,
Lakini kwa huyu ni tofauti sana, japo najua kuwa kaz ni uvumilivu lakini unavumilia kutokana kile unacholipwa. Mshahara ni mdogo bado mtu unakufanya ufanye kazi pressure juu, ukipatia tisa ukakosea moja anza kujionea huruma Naomba niulize hivi maboss wote wako hivi au ni huyu tu
Nawasilisha.