Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habarini Wadau, Ninaomba kujuzwa kuwa sheria ya Tanzania inasemaje juu ya kuingiza baadhi ya vyakula kutoka Kenya kupitia border ya Namanga. Ni ruksa kuimport Viazi, chai, Mayai, blue band...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Juzi Jumamosi Kuamkia Jumapili niliota Ndoto ya Maono ya Ajabu sana, sana Kuna Mwanasiasa ambaye wa aina yake Alikula nyasi, lakini huyu yeye Mungu atamnyanyua Fasta Fasta! Sababu hasa ikiwa...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Shetani huwa hana raha wala furaha kamilifu, na ameshajua hatma yake kuwa ni jehanamu na hana nafasi ya kutubu tena. Sasa anachokifanya ni kujifariji kuwa sitaingia peke yangu huko jehanamu bali...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Hebu sikiliza minimbo ya siku hizi, yaani hovyo kabisa. Hamna akili wa ubunifu. Hebu sikiliza wimbo huu wa mwaka 2000, hadi leo una ladha kwa sababu watunzi walitumia akili nyingi kupata wazo na...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Shalom ndugu zangu, kama unasafiri usiku kuja moshi ukifika maeneo ya lembeni uwe makini jamaa wanapanga mawe na wana Gari na pia bodaboda. Gari wanaitumia kuhakikisha unapishana nao eneo lenye...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Tangu nimepata ufahamu sioni kazi wanayoifanya hawa askari wa zimamoto zaidi ya kusababisha na kuchochea majanga pale moto unapowaka sehemu. Kama mnavyojua ajali za moto ni nadra na zikitokea...
5 Reactions
28 Replies
6K Views
Nimemsikia Afisa wa SUMATRA, Dkt Oscar, akilalamika kuwa kuna ulanguzi wa maksudi unafanywa na mawakala wa mabasi Ubungo na akawalaumu abiria kwa kutokutoa ripoti kwao! Kwangu hiki ni kichekesho...
0 Reactions
0 Replies
757 Views
Kama kuna chochote kilichotrend TZ kuanzia Jan mpaka Dec kiweke apa Tuvote Which is the best Mi naanza na the best kick of 2017 King of April King of November
0 Reactions
0 Replies
526 Views
Treni ya TRL aina ya Deluxe imekwama hapa kaliua tokea saa 14:00 mchana mpaka muda huu. Halafu hakuna taarifa yeyote kuhusu kinachoendelea. Lakini TRL hii 3,500/= mnayotoa ni posho ya chakula cha...
3 Reactions
30 Replies
3K Views
Kuna watu wananikera sana hawa ni wale MADEM wanaojizalilisha kwa kupost picha zao wakiwa uchi au nusu uchi mitandaoni hasa Instagram na Facebook. Nyinyi mnaozuia video kama chura ya Snura hivi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hello JF, leo nimeona katika watu wengi hatunacho, ni roho ya kusaidia wengine, kwa mfano,kusaidia wengine ambao wako less privileged, kielimu,kipesa,maradhi,na compassion, tuanze sasa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Bw MICAL ELIFURAHA MRINDOKO(0754 285538,0715295538) amerejesha kadi ya CCM na kujiunga na TLP. Bw Mlindoko ambaye ni msomi wa MBA -DSM na mumiliki wa Vituo vya mafuta Engen Ubungo,Bp Tank Bovu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
kama wamfahamu mhusika,wasiliana kwa namba +255713563655
1 Reactions
46 Replies
10K Views
Wakuu taarifa za vyombo vya habari wiki hii ni kuwa kampuni ya kuchimba dhahabu ya barrick wana mpango wa kuongeza machimbo mengine..ikumbukwe hadi hivi sasa hawa jamaa wanamiliki machimbo na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwa mtu yeyote aliyefika Dar kwa siku za karibuni hasa kuelekea Krismas na mwaka mpya ataniunga mkono. 1. Foleni ya magari imepungua, utaiona kidogo muda wa jioni na asbh. 2. Mtaa wa Kongo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Yan nikiwa na kitu cha thamani kuuza inakuwa shida sana. Nitapata tabu kuuza mpaka nakata tamaa ila siku nikija kuuza nauza kwa faida mara dufu Naomba tupeane maarifa hapa maanake nawaza kwenda...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Habar wanajamvi? Poleni na mikikimikiki ya siku,wiki,mwez na mwaka kiujumla kama tunavyo fahamu hiv sasa tuko mwishon mwa mwaka. Tumepitia mengi mnamo mwaka 2017. But najua weng tunamatukio...
0 Reactions
7 Replies
789 Views
Kama kuna mfanyakazi wa halotel humu asome ujumbe huu awafikishie sijui ndio control center sijui ndio customer service center mtajua wenyewe. SITAKI NA SITAKI NA NINAKEREKA NA MESSAGE ZENU ZA...
2 Reactions
29 Replies
8K Views
Nimesikia basi la Tahmeed lemepata ajali arusha! Mwenye taarifa, atujuze zaidi!
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom