Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ebhana ndugu zangu nilikuwa na shida na mtu yeyote anayemjua mtu wa masoko wa total (t) ltd kuna sheli yao moja iko mkoa flani ina mwezi naona imefungwa soo kama hiyo nafasi imeachwa nitafute...
1 Reactions
3 Replies
767 Views
Habari zenu jf members Napeda kujua baada ya mifuko ya hifadhi ya jamii kuunganishwa na kubakia nssf, vipi kuhusu ajira za watumishi wa ppf,,lapf na mifuko mingine itakayounganishwa? Je ajira...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Hili wazo niliwahi kulifikiria mara kadhaa.... na ndugu yangu Consigliere naye ameweza kulizungumzia sehemu flan kuhusiana na vituko na vitimbi vya mlimani city. 1. mlimani city ni sehemu pekee...
46 Reactions
86 Replies
15K Views
Hakika Watumishi tunatakiwa tupaze Sauti zetu Kwa VYAMA VYA WAFANYAKAZI juu ya kuitaka Serikali isiupeleke Bungeni MUSWAADA huo mpaka upatiwe na Vyama hivyo turekebishe Vifungu visivyo na Tija Kwa...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Nilikuwa na mipango kadhaa katika mwaka 2017. Completion percentage ni reasonable and acceptable. Sijivunii sana mafanikio mengine kwa sababu sina tabia ya kujisikia Lakini nashindwa kujizuia...
2 Reactions
5 Replies
821 Views
Kijana wa mia 35 amefikishwa mahakamani kwa kosa la kumbaka kikongwe wa miaka 90 huko Tabora mnamo tarehe 4/12/ 2017.
1 Reactions
3 Replies
795 Views
Miye ni Mkristo kwa maana ya kuzaliwa, kukua na kuamini. Na nimeshuhudia ufungaji wa ndoa nyingi za kikristo ukiwa na complications nyingi, ambapo kwa sehemu mkubwa maandalizi kwa maana ya kamati...
34 Reactions
205 Replies
18K Views
Niaje DAWASCO Ubungo? Wakati taifa linasonga mbele kwa kauli ya #HapaKaziTu, ninyi mnafungua milango saa mbili lakini huduma zinaanza saa nne. Kama ni chai mywege kwenu! Tabia za kuwawakusanya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Baada ya Rais Dr. Shein kumaliza muda wake 2020 inaweza kuchukua miaka mingi sana tena kwa Rais wa Zanzibar apatikane kutoka Pemba au awe Mpemba. Tatizo kubwa la Pemba ambalo limekuwepo kwenye...
0 Reactions
1 Replies
848 Views
Hospitali ya mji wa kahama muda si mrefu utaanza ujenzi wa jengo lenye zaidi ya ghorofa moja ambalo litakuwa na Theatre,masijala,Bima,mochwari na mawodi ya wagonjwa.nikizungumza na mmoja wa...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Kwa muda mrefu nimekuwa nikifiria sana kuandika mashairi kuhusu hali ya kisiasa nchini mwetu. sasa nilikuwa naomba ushauri kabla sijaanza kuandika. NIANDIKE KUHUSU UPANDE GANI ?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
TANZIA: BURIANI MZEE PANJA Mzee anayeaminika kuwa na umri mkubwa zaidi nchini, Ambilike Panja mkazi wa Ihanda wilaya ya Mbozi mkoani Songwe amefariki dunia akiwa na miaka 127. Mtoto mkubwa wa...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Kumekua na kawaida kwa watu wanopandisha majini au mashetani au maruhani au mizimu kudai au kudaiwa kua na uwezo wa kuzungumza lugha ngeni isiyofahamika na yule mtu ambae jini linapanda kichwani...
1 Reactions
19 Replies
10K Views
Hivi hapo UDSM hakuna dressing Code?Mavazi wanayovaa baadhi ya wanafunzi hayana maadili.Chuo kikuu ni Taasisi nyeti na yenye heshima kwenye jamii.Suala la mavazi liangaliwe.
5 Reactions
89 Replies
19K Views
Mahakama Kuu imemuachia huru Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Sheikh Issa Ponda katika rufaa iliyokatwa na Jamhuri kupinga hukumu ya Mahakama ya Morogoro iliyokuwa imemuachia huru...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Juzi nilinuia kuwashtaki kwa mh Mbarawa hatimae jana mkandarasi angalau ameonyesha kuwajibika. Nimetaarifiwa kuwa jana kuanzia mchana hadi usiku wa manane alianza kutengeneza kile kipande.Jambo...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Kamati ya ulinzi na usalama wilayani Lushoto imewatia mbaroni watu wawili akiwemo askari mstaafu wa Jeshi la wananchi Sheubua Sempeho pamoja na mwalimu wa shule ya sekondari Edwin Sempeho kwa...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Wadau, nipo bank na runinga ya inaoneshaTBC wakionesha laivu mkutano wa CCM unaoendelea pale DODOMA, na waziri mkuu ndo anaongea ss hv. Ambacho sijaelewa ni kwamba, huu ni mkutano wa CCM KAMA...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari WanaJf Jamani nauliza, kwa waliowahi kufikwa na adha hii au wanaofahamu; unaweza kukutana na mtu labda anaishi mitaa yenu ukamchukia bila sababu, ilihali hajawahi hata kukusemesha, hana...
6 Reactions
99 Replies
20K Views
Najaribu kujiuliza tu,huu uhamisho unaendelea wa watumishi wa umma.huku wengi wao wakihama bila familia zao.yaani wanaacha waume au wake zao pamoja na watoto wao hapa Dar.hii ni kutokana na hali...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom