aisee ngoja waje
kama wamfahamu mhusika,wasiliana kwa namba +255713563655
AISEEE KAMA NI MKE WA MTU NA AMEPOTEZA MKOBA KWENYE HARAKATI ZA KUCHEPUKA KAISHA.
Ukute kaaga anakwenda Mtwara vitambulisho vimeokotwa gairo
Mbona unatanguliza lawama baadala ya kutoa msaada kwanza,AISEEE KAMA NI MKE WA MTU NA AMEPOTEZA MKOBA KWENYE HARAKATI ZA KUCHEPUKA KAISHA.
Ukute kaaga anakwenda Mtwara vitambulisho vimeokotwa gairo
Dah maskini na wakati wa kupiga picha ya kitambuli cha kura alikuwa amechoooka, nadhani aliwekwa matumaini makubwa kwa Rais ajayeWakati anafungua account ya benki ya posta alikuwa mrembo huyoo. Ila waweza mgugo ukapata taarifa ambazo zinaweza kurahisishia kumpata.
Itakuwa aliibiwa pochi masikini.... pole kwake.
Ndugu msamalia Mwema, nakuombea uwe na moyo huwo daima![]()
kama wamfahamu mhusika,wasiliana kwa namba +255713563655
Hivi mavitambulisho yote hayo unayajaza vipi kwenye mkoba mmoja?
Huyu ni mke wa jamaa yangu Paschal Ibada ngoja nimjulishe![]()
kama wamfahamu mhusika,wasiliana kwa namba +255713563655
Nimempigia Pascal kaniambia mmesha wasiliana. Asante sana bro![]()
kama wamfahamu mhusika,wasiliana kwa namba +255713563655
Raia naona mnanikomalia mara niende polisi mara benki mara kazini kwake,me nlikuwa nazurura zangu huko facebook kwa mamburula,ghafla nkakutana na tangazo serious ambalo ni hili nkaona ni vema nikalihamishia huku,itakuwa rahisi zaidi kumpata mhusika kuliko kule,na hyo namba ya simu ni ya huyo mtu alieokota wala sio yangu.KWENYE HIYO KADI YA MATIBABU YA AAR INAONYESHA NI MFANYAKAZI WA ATLASCOPO, HAO JAMAA WANABRANCH DAR ES SALAAM NA MWANZA PIA WANA OPERATION PALE BUZWAGI SHINYANGA.. KAMA UNA NIA YA KUMSAIDIA TAARIFA ZINATOSHA KABISA HIZO KAMA UNA NIA YA KUMSAIDIA...
OK thanks Mzee kwa kuufikisha Uzi hapaKashawasiliana nae sio mimi,me nilihamishia tu tangazo hapa!
Mbona sura yake inabadilikabadilika kwa kila kitambulisho?
Huyu ni mke wa jamaa yangu Paschal Ibada ngoja nimjulishe