BARDIZBAH
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 6,410
- 13,052
Habar wanajamvi? Poleni na mikikimikiki ya siku,wiki,mwez na mwaka kiujumla kama tunavyo fahamu hiv sasa tuko mwishon mwa mwaka. Tumepitia mengi mnamo mwaka 2017. But najua weng tunamatukio yalio tufurahisha na kutukera kiujumla. Bas kila mwenye kauli nzur au mbaya kwa mwaka 2017 atupie tuone