Hivi kwasasa kuingiza vyakula nchini kutoka Kenya ni ruksa?

Azarel

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
26,101
34,053
Habarini Wadau,

Ninaomba kujuzwa kuwa sheria ya Tanzania inasemaje juu ya kuingiza baadhi ya vyakula kutoka Kenya kupitia border ya Namanga.

Ni ruksa kuimport Viazi, chai, Mayai, blue band, minced meat n.k ?

Na utaratibu wa kuingiza ukoje?

Natanguliza shukran.
 
Kupitia border ya Namanga sijui.

Nachojua ni kupitia Tarakea pale Custom. Uuzaji was Viazi (Obama) kutokea Nairobi unafanyika sana.

Wafanyabiashara wa Kenya wanaleta pale, sisi tunanunulia Custom na kuvisafirisha kwenda kwingineko.
 
Shukran lalahe.
 
Back
Top Bottom