Train ya TRL imekwama Kaliua

Train ya TRL imekwama Kaliua

Mweusi Mweupe

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2017
Posts
333
Reaction score
322
Treni ya TRL aina ya Deluxe imekwama hapa kaliua tokea saa 14:00 mchana mpaka muda huu. Halafu hakuna taarifa yeyote kuhusu kinachoendelea.

Lakini TRL hii 3,500/= mnayotoa ni posho ya chakula cha mchana, jioni, usiku au Kesho asubuhi?

Kila la heri kwa wote muichukiao CCM.
 
Naichukia sana hiki chama yaani huku kwetu umeme kila siku wanakata SAA tatu asubuhi mpaka SAA moja usiku alafu wanajiona wako sawa, pole na safari
 
Treni ya TRL aina ya Deluxe imekwama hapa kaliua tokea saa 14:00 mchana mpaka muda huu. Halafu hakuna taarifa yeyote kuhusu kinachoendelea.

Lakini TRL hii 3,500/= mnayotoa ni posho ya chakula cha mchana, jioni, usiku au Kesho asubuhi?

Kila la heri kwa wote muichukiao CCM.
Limeishiwa mafuta
 
Treni ni dude gani kwani karne yapo bora liwe la Umeme sasa Yale matreni ya kale haya wakiyafufua hayaendani na nakarne hii sipati haya kwa bakola
 
Poleni wakuu. Serikali imenunua vichwa vipya. Sasa hivi safari itakuwa ya uhakika zaidi...
 
Treni ya TRL aina ya Deluxe imekwama hapa kaliua tokea saa 14:00 mchana mpaka muda huu. Halafu hakuna taarifa yeyote kuhusu kinachoendelea.

Lakini TRL hii 3,500/= mnayotoa ni posho ya chakula cha mchana, jioni, usiku au Kesho asubuhi?

Kila la heri kwa wote muichukiao CCM.
Hiyo ndiyo SUMATRA, si wameona reli sawa kama shabibi tu.
 
Kwanini ume panda Treni badala ya bus au ndege?

Ukipenda vitu vya bei rahisi hayo na usumbufu ndio gharama yake
 
Kwanini ume panda Treni badala ya bus au ndege?

Ukipenda vitu vya bei rahisi hayo na usumbufu ndio gharama yake
Ila we jamaa hivi unafikili wote maisha tunaringana wengine ata kupata mia tano ni shughuli pevu sasa usimzarau anaetumia gari moshi kusafiri
 
14.00 ? 24 HR Clock? Hakika Watanzania tunakwenda na wakati. MiCCM inatuchelewesha hadi aibu.
 
Harafu tupo tunajiandaa kuleta za kutumia umeme. Tuna masihara sana sisi..
 
Back
Top Bottom