Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,669
- 33,691
Hello JF,
leo nimeona katika watu wengi hatunacho,
ni roho ya kusaidia wengine,
kwa mfano,kusaidia wengine ambao wako less privileged,
kielimu,kipesa,maradhi,na compassion,
tuanze sasa kujitolea,
Serikali ingeweka mipango kwa wale wenye taasis za kusaidia jamii wawe na mipango endelevu,kujiendesha bila utegemezi wa misaada kutoka nje.
I still think,hakuna uamsho kwenye hili swala,
ukijitolea unaonekana km mwanga vile😀
na ukifungua NGO unaonekana unatafuta ulaji kwa misaada ya nje....lol
halafu inashangaza, kujitolea sehemu nyingine inakua ngumu,ila kanisani msikitini mnatoa mamilioni,
tubadilike,