Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna ajali mbaya imetokea muda wa saa 10 alfajiri ya leo eneo la Mwidu ktk njia ya Morogoro - Dar. Kuna watu waliofariki. Ajali hii imepelekea foleni kubwa sana lakini traffic wanajitahidi kuruhu...
2 Reactions
32 Replies
52K Views
Kumekuwa na kero kubwa katika utaratibu wa uzoaji wa Takataka katika mitaa tunayoishi. Magari yamekuwa ni mabovu,hayapiti kwa wakati na utoaji wa risiti za kielectronic umekuwa wa kubabaisha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ipo dhana inayoenea miongoni mwa watanzania kwamba anayeikosoa serikali katika mambo anayoona hayaendi sawa haitakii mema nchi hii. Dhana hii haina budi kukemewa na kulaaniwa kwani ni dhana...
1 Reactions
2 Replies
875 Views
Wale mliozaliwa babazenu wakiwa na smartphone kwanza niwape hongera, sasa si mnajua Mara babyborn uwekwe kwa kioo n.k ni raha sana kuwa na mtoto Pili niwakumbushe tu mkiwa wadogo kila kitu picha...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
MTWARA: Polisi wanamsaka mwanamke aliyefahamika kama Zuhura Ismail (29) kwa kosa la kumfungia mumewe ndani kisha kuichoma nyumba kwa petroli na kumsababishia kifo Mume wake walikuwa wametengana...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Kiufupi tu ni kwamba watanzania wengi wanasikiliza redio kwenye magari, iwe yao au ya umma. Magari mengi yanayotumika Tanzania ni ya Japan ambayo kwa kawaida redio zake hupata frequency za fm...
0 Reactions
39 Replies
9K Views
Habri, JF. Naomba kujuzwa kuhusu waliosoma nje ya Bongo hasa elimu ya juu kuanzia shahada hadi uzamivu, mlipohitimu vyeti vyenu vya huko nje mlivipeleka ofisi/ mamlaka ipi ili kutambulika na nchi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakazi wa dar aaliwakera sana wageni wanaokuja huko kwa Kuwaita watu wa mikoani. Sahivi mambo yote ni Dodoma kwahiyo Dar ni mkoani kama mikoa mingine..... Sasa wanaume wa Dar watapumzika, kazi...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Poleni na majukumu wakuu! kama mada inavyo onesha hapo juu naomba mwenye ujuzi anisaidie. Make kuna utata umempata mtu wangu wa karibu yeye yupo jirani na nyumba ya starehe sasa kati ya nyumba...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Mimi nimekuwa mara nyingi sikukuu za chrismas zinanikuta nimejiandaa nikiwa na fungu kidogo la kuburudika na ndugu na jamaa na hata kupata mialiko wakati mwingine ila sikukuu hii mpaka leo tare...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamani nimepangiwa kituo cha kazi huko TABORA-SIKONGE-MAKIBO Sasa naomba msaada kupafikia hapo mm nimetokea njombe KARIBUNI KWA MSAADA
0 Reactions
26 Replies
7K Views
mods naomba msiunganishe huu uzi! ni jambo serious jaman wadau labda sie wa mashirika tu ndo tumekaushiwa! mbona mpaka leo mshahara hakuna na vyuma vimeka.................. ( ukimalizia tu...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Amani iwe nanyi wakuu! Naomba kujuzwa kwanini mtu akifariki huogopwa na wengi wao huogopa hata kuingia kwenye chumba alimo maiti nahitaji kujua ni jambo gani hupelekea mtu kuogopwa anapokuwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau naomba kufahamu nauli za ndege Dar-Kigoma
1 Reactions
4 Replies
9K Views
Wadau, Kama kichwa cha habari kinavyojielezea bomoabomoa imenikuta nyumba zetu mbili za familia zote kuvunjwa ni huzuni na vilio!
5 Reactions
139 Replies
16K Views
Thursday, December 21, 2017 Wafanyabiashara jijini walalama kukosa wateja Kwa ufupi Mmoja wa wafanyabiashara hao anayeuza nguo, Athumani Mhina alisema sikukuu ya mwaka huu iko tofauti na...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Wakuu salaam, Nimekuwa nikimfatilia sana the Bold na hivyo nikajikuta nikipenda kufuatilia intelijensia. Binafsi mimi ni msomaji wa vitabu lakini visivyo vya hadithi za kutungwa(non fiction)...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habar wana Jf Kwa hapa Dar ni wapi naweza kupata vyombo vya jikoni vya kisasa kama vile mashine za kukandia ngano za umeme, oven, blenders, mashine za kuchanganyia juisi za kisasa n.k na vyombo...
1 Reactions
8 Replies
10K Views
leo mmeamua kutuonyesha ubabe wenu watu mnatukalisha masaa 11 kusubiri kuvuka. jamani muwe mnakua active na serious. tarehe za muhimu. kwa kweli inasikitisha eti private car hamziruhusu mnaruhusu...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…