Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wakuu. Naomba kama kuna mtu yeyote anayesafiri na private na ina nafasi ya watu wawili kuelekea Arusha na Moshi siku ya ijumaa asubuhi na mapema tuwasiliane tafadhali. Mabasi yamekuwa...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Habarini za asubuhi wanajamvi Naombeni msaada wakuu ninategemea kusafiri tar 23-27 kwenda Jijini Mbeya naombeni kujuzwa sehemu nzuri pakufikia kwa ajili ya makazii wanajamviii.especally Lodge...
0 Reactions
20 Replies
8K Views
MBEYA: Weka booking yako mapema, full AC, comfortable ride.Kama unasafiri nicheki inbox.
0 Reactions
32 Replies
3K Views
wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza mara nyingi nikipata wasaa wakusikiliza radio one hasa mida ya mchana, kwenye matangazo ya vifo kinachonishangaza ni kwamba majina na watu niwasikiao...
0 Reactions
83 Replies
16K Views
Wasalamu wanajamvi wenzangu! Mara baada ya salamu naomba niwasilishe ombi langu kwenu: naomba wale wote wenye kazi zao na ajira zao watushike mkono siye vijana ambao tuko mtaani hatujui kitu cha...
21 Reactions
157 Replies
11K Views
Baada ya kukaa na kutafakari mambo haya nimeona bora niishii bila kuwa na dini kuliko kuwa na dini....... Dini siku hizi zimekuwa ni sehemu za watu kupiga hela yaani viongozi wa dini sina tena...
5 Reactions
92 Replies
7K Views
Kuna utaratibu umeanzishwa na jeshi la polisi Mirerani ambapo wameweka vizuizi {barrier} kwenye barabara za kuingia na kutoka Mirerani, ambapo askari polisi wakiwa na mitutu ya bunduki...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Salaam wana Jamiiforums: Kama mnavyojua Dodoma kumekucha na mambo siyo haba, serikali imedhamiria kuhamia Dodoma na kwa hakika fursa zimehamia Dodoma. Leo TBC1 wako live kutoka Makutupora Dodoma...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Ameweka matangazo kadhaa kwamba anauza kuku/vifaranga, kumbe ni tapeli na anatumia njia ya laghai kudanganya watu humu jf kisha anapotea na pesa. Naomba wengine waliokua na nia ya kuhitaji bidhaa...
9 Reactions
261 Replies
23K Views
Hii ndio changamoto unayokumba vijana wengi kwamba kama ukiishi Dar es salaam unaonekana bora kuliko wengine wanaoishi mikoa mingine,sasa nilienda mkoa Fulani kama kawaida mida ya jioni baada ya...
12 Reactions
30 Replies
3K Views
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amemtaka mwekezaji wa kampuni ya PMM kurudisha maeneo ya wakazi wa Vingunguti aliyotaka kuyanunua na kuwalipa fidia wakazi hao kwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwanza CCM siyo mtu hivyo huwezi kumlaumu kwa chochote, na hata kama ukianzisha Vita dhidi ya CCM hata hujui adui yako ni nani kwani haina mwenyewe! CCM huwezi kuuita Dikteta, kwani siyo mtu...
2 Reactions
6 Replies
969 Views
Nikimsikia Mtu anasema ,,,, oh !!!! Huyu bwana ni mtu mbaya sana ,,,,, ana roho mbaya,,,,,,, oh!!!! Amenisababishia Haya,,,,, isingekuwa yeye Mimi yasingenikuta,,,,,,,,oh!!!! Mimi saa hizi...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Kama walivyofanya TBL, SBL sasa ni zamu ya kampuni ya simu ya Airtel ambayo imekuja na vocha ya Tsh 200 ikiwa ni ishara ya kuyumba kwa uchumi na kuathiri wateja wake. Hivyo ili kumrahisishia mteja...
5 Reactions
31 Replies
4K Views
Habari wakuu, naomba kwa mwenye /wenye kujua namna ya kuandika maandishi mekundu Facebook atuelekeze. Nawasilisha [emoji120]
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Jamani nataka kulinganisha bei za nyumba za makambuni tajwa yanayojishughulisha na ujenzi wa nyumba.Kati ya makumbuni yafuatayo ni kampuni gani inauza bei nafuu ukilinganisha na nyumba wanazojenga...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mtandao wenu unasumbua kwa kila kitu,iwe kupiga na tukija kwenye internet ndio kabisa unaweza ukatupa line kabisa,rekebisheni tatizo maana vijana wengi wanahamia mitandao mingine kwa kukwepa adha...
0 Reactions
1 Replies
639 Views
Kuna namba imenipigia le mchana sikuweza kupokea maana nilikuwa sehemu nisingeweza kuipokea nikatuma sms ikawa inaleta report kuwa sms unsuccesfully Nilivyotaka kuipigia ikawa simu haiendi pia...
0 Reactions
61 Replies
36K Views
*Kwa sababu za kiusalama sitotaja majina ya wahusika wa story hii.* Mimi ni daktari bingwa katika hospitali mojawapo jijini Dar es Salaam na ninaishi mitaa ya Upanga. Ninapenda kufanya mazoezi...
36 Reactions
75 Replies
8K Views
Sumatra imekamata mabasi manne kwa kosa la kupandisha nauli, meneja usalama barabarani na mazingira, Godffrey Silanda amethibitisha Chanzo: Mwananchi
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom