Naenda moja kwa moja kwenye mada bila kupepesa macho,kuna kipande cha bendera yetu tukufu kinapeperuka juu ya jengo la bunge anayehusika akaweke bendera mpya au kama hakuna bendera waitoe haraka...
Mpaka leo sijaelewa ni kwa nini Wakristo wanashabikia, kuwapenda na hata kuwatukuza Wayahudi wa Israeli.
Najua kwamba ndiko Masia wao Yesu Kristo alipozaliwa, lkn ukiondoa hilo Waisraeli hawana...
Habarini.
Kwa wale wenyeji na watumiaji wa Bagamoyo road, utakuwa umeona kuna shughuli inaendelea pale kituo cha daladala bondeni.
Habari nilizozipata ni kuwa wanajenga daraja la wavuka kwa miguu...
Ulevi wa pombe ni ugonjwa unaoathiri watu wengi duniani. Kwa ulimwengu mzima,mamilioni ya watu wameathirika kwa njia moja ama nyingine kutokana na tatizo hili la ulevi wa pombe.
Pombe hupendwa na...
Habari za asubuhi wanajamvi,
Wiki 2 zilizopita nilikuwa nafululiza kwenda hospital ya Muhimbili kumjulia hali mama wa rafiki yangu ambaye kwa mapenzi ya mwenyezi Mungu amemuita usiku wa jana...
Waandaji wa mashindano ya urembo ya Miss Tanzania, Kampuni ya Lino International Agency Limited, wamesema kwamba hakutakuwa na Fainali za Taifa za shindano la Miss Tanzania kwa mwaka 2017...
Ni tukio la kigaidi limetokea huko Melbourne Australia. Jerrymsigwa mwanajf mwenzetu anaishi huko tunakuomba bro utujulishe Hali yako tuwe Na amani.
Ni muamiaji muafganistani ameparamia waenda...
Nimekutana na Mwenyekiti wa CHAUMMA, Ndugu Hashim Rungwe Spunda katika mwendelezo wa kukutana na viongozi wa upinzani wa juu wa vyama vya upinzani nchini.
Nafurahi tumekuwa na mazungumzo mazuri...
Wanabodi,
Sisi huku mikoani tunaikosa hii habari kwa mapana yake. Nawaomba mlio na data za kutosha mtuambie nini kinaendelea kwani hii kitu ilitokea miaka ile Mh Rais Mkapa akiwa madarakani na ni...
Huo ujumbe nimeupata sasa hivi walivyo wajinga madai ya nimeshinda alafu namba waliyonitumia ujumbe wa zawadi wametumia voda kutuma zawadi ya Tigo pesa[emoji23] [emoji23] [emoji23] hii kali...
Usipojua unapokwenda; kokote unaweza kuelekea na ukaona uko sawa tu.
Wapinzani watanzania bado hamjawa na vision na sijui shida nini. Ndio maana mnasubiria Rais au serikali ikisema au kufanya...
Habari za mida waheshimiwa,
kuna kitabu nakitafuta (THE UNTETHERED SOUL by Michael Singer) nimeangalia mtandaoni hakiko free ,kinauzwa, nanunuaje hiyo soft copy(sijawahi fanya manunuzi ya aina...
Jamani nisaidieni kuhusu internet ya Halotel, sio siri inaboa mno hapa Dar, yawezekana huko porini wako njema ila Dar inaboaaa. Nadhani wameishiwa pumzi tayari, please rekebisheni kabla hatujatupa...
Tushauriane wale tulioguswa na usisitwizwaji wa sadaka katika wakati huu mgumu , mi nilijua wangenipiga maombi mambo yanyooke ila ndo wanazitaka hata hizi ndogo ninazopata
Habari wakuu.
Naomba kama kuna mtu yeyote anayesafiri na private na ina nafasi ya watu wawili kuelekea Arusha na Moshi siku ya ijumaa asubuhi na mapema tuwasiliane tafadhali.
Mabasi yamekuwa...
Habarini za asubuhi wanajamvi
Naombeni msaada wakuu ninategemea kusafiri tar 23-27 kwenda Jijini Mbeya naombeni kujuzwa sehemu nzuri pakufikia kwa ajili ya makazii wanajamviii.especally Lodge...
wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza mara nyingi nikipata wasaa wakusikiliza radio one hasa mida ya mchana, kwenye matangazo ya vifo kinachonishangaza ni kwamba majina na watu niwasikiao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.