Tusikilize clip hii tujifunze jambo

Tusikilize clip hii tujifunze jambo

UHALISIA NI KWAMBA: Dawa ya ukimwi zipo miongoni mwa watu, shida iliyopo hata serikali karibia zote duniani zimeaminishwa kinyume na ukweli kuhusu ukimwi na hata raia wa dunia kwa asilimia kubwa wanapewa wrong information juu ya ukimwi, kwa kifupi ni kuwa ukijuacho kuhusu ukimwi ni 0.00002% ya ukweli wake.

Hivo basi tunao uwezo wa kufanya tafiti hapa kwetu kwa kuwatumia madaktari na hawa wa tiba asilia ili kuja na dawa ya ukimwi, hawa wazungu si wa kuamini kwa kila jambo , kuna usemi unasema za kuambiwa changanya na za kwako
swali tangia ukimwi uwepo tanzania na elimu kubwa ya ukimwi kutoka nchi za magharibi je tulishawahijaribu kuchanganya na za kwetu?. neno la Mungu linatutaka tuwe kama watu wabeloya baada ya kuchapwa injili ilibidi waingie kwenye maandiko ili kujiridhisha juu ya kile kihubiriwacho
 
Asantee
 
Hajafikia kuitwa Bilionea ni Milionea tu.Unadhani wenzetu mafisadi kama Maraisi wastaafu wa huku Afrika,Waafrika mafala sana wanaiba hawawajali Raia wao

Tatizo Afrika urithi wetu.
 
Back
Top Bottom