Waliosoma nje ya Bongo

Poise

JF-Expert Member
May 31, 2016
7,633
7,907
Habri, JF.
Naomba kujuzwa kuhusu waliosoma nje ya Bongo hasa elimu ya juu kuanzia shahada hadi uzamivu, mlipohitimu vyeti vyenu vya huko nje mlivipeleka ofisi/ mamlaka ipi ili kutambulika na nchi yetu Tanzania na taratibu zake ni zipi?

Maana pana Binti yangu, anarudi hapo bongo (Kutoka New Zealand) sasa sijaelewa mamalaka inayohusika na kuvifanyia vyeti vya nje ulinganifu na ni vitu gani / viambatanisho labda na gharama zake kabla ya kuomba kufanyiwa ulinganifu huo na mamlaka husika.

Asante kwa msaada..
 
Kwanini hakwenda TCU kujua kama chuo anachosoma ni credible na kinatambuliwa na TCU. Hiyo ndiyo muhimu na rahisi. Soma chuo kinachotambulika na TCU

- Anyway nendeni TCU hapo ndio kila kitu kuhusu elimu ya juu TZA
 
Mkaruka,
Asante sana mkuu.
Yeye amesoma nje ya Tanznaia ni huku New Zealand bachelor na master's degree.
Atafanya hivyo akifika hapo Tanzania.
 
Je kama nimekaa nje muda wote mpaka watoto wanamaliza College na wanaamua kuja kutafuta kazi Tanzania ila kuanzia elementary mpaka University hawajawahi soma nchini watafanyaje? Wamesoma shule zenye IB.
 
Nimeingia website ya tcu procedures zote zipo

Link

www.tcu.go.tz
Au, faas.tcu.go.tz
 
Unasomaje nje hadi masters halafu unakuja tafuta kazi Tanzania SMH hapo ukute ishatumika zaidi ya million 100 ad a at unakuja Anza mshahara laki 5 ......pambana wakuajili huko njoo invest huku

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Je kama nimekaa nje muda wote mpaka watoto wanamaliza College na wanaamua kuja kutafuta kazi Tanzania ila kuanzia elementary mpaka University hawajawahi soma nchini watafanyaje? Wamesoma shule zenye IB.
Yaani huyo mtu anayekuja kutafuta kazi Bongo anakuwa anakuja kutafuta au kuna sehemu ya moja kwa moja kujichomeka?

Nje atakuwa amesoma nchi gani? Nijulishe siulizi kwa ubaya mkuu.
 
Back
Top Bottom