Wapendwa inakujaje mtu anakuwa mgeni katika ofisi anakuta top Management and other worker inampa ushirikiano mbovu kama hawataka kumsaidia kwa chochote
Sasa je mtu Huyu atafanyaje kazi? Hii sio...
Ningependa kujua wafuatao walikuwa watumishi wa umma wako wapi
1.Alikuwa kamishna TRA makontena ya bandari yakamtoa kwenye system
2. Edward Hosea takukuru
3.Felix wa Ewura
4.Engineer wa...
Habari wanabodi, huyu mhandisi ni noma sana, yaani akikuchambulia mifumo ya Gari kuanzia utendaji kazi, namna ya kutunza, namna ya kuendesha nk utamtaka, huyu ni hazina pale NIT.
Nimejikuta...
Kampuni ya simu za mkononi ya Bharti Airtel Limited (Bharti) kutoka India, imenunua rasmi kampuni ya simu za mokono ya Zain inayoendesha shughuli zake katika nchi 15 za Afrika, ikiwemo Zain...
10 Cleanest Cities in Africa
1. Cape Town (South Africa)
2. Port Louis (Mauritius)
3. Johannesburg (South Africa)
4. Nairobi (Kenya)
5. Gaborone (Botswana)
6. Tunis (Tunisia)
7. Accra (Ghana)
8...
Salaam wakuu.
Katika uzi huu tuambizane namna tulivyopitia masahibu mbalimbali katika kupambana na tatizo la kukojoa kitandani, either utotoni au hadi katika utu uzima hasa kupitia ndotoni...
Umri wangu ni chini ya miaka 30 lakini cjui Kwanini Nina marafiki wengi Wenye umri wa kuanzia miaka 50 na kuendelea.Hata msikitini ninaposali nimewekwa kwenye kamati ya wazee japo kuna Mzee mmoja...
Habar wana jamvi
Husika na kichwa cha habar hapo juu, nina bidhaa yangu ya kula sasa kila nikipeleka kwenye masuper market naambiwa nikasajiliwe na kupima TFDA, What are the procedures au...
Ndugu zangu wote mliomo humu ninaomba msaada, mwenye kitabu online au link au akidownload anitumie kinaitwa KICHWA MAJI kimeandikwa na EUPHRASE KEZILAHABI, asanteni sana
Si kwamba zinapakia muda wowote, hapana tutakuwa na daladala tano kwa siku ambazo zinakuwepo ikitokea abiria wameongezeka na basi kubwa hakuna basi tunaruhusu" amesema
Dar es salaam...
Chizi maarifa ni aina ya watu waliosoma wakapitiliza, yaani mpaka elimu ikapenya.... Yani ni sawa na mtu akinywa pombe halafu ipenye...
Mtafaidi vibweka...
Mitaa ya kibaha kuna babu mtanashati...
Habari zenu humu ndani .
Mimi kuna maneno nimeyasikia sana mitaani kuhusu hizi boksa tunazovaa wanaume watu wakidai eti ukizivaa kwa muda mrefu zinapunguza nguvu za kiume !
Mwenye ukweli kuhusu...
Korea Kaskazini yapiga marufuku Sherehe hizo
Sherehe za Krismasi zapigwa marufuku Korea Kaskazini
Chanzo: Muungwana Blog
Pyongyaung. Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un amepiga marufuku...
Kwakwel huku goba ni toooo much,heb onen aibu bas.daah..utafkir mnatupa bure huo umeme,halaf kiiila siku ni lazma ukatike jion saa moja mbili kasoro,walah kitu kikiungua hapa natimba kushtak...
Enyi watu wa kampuni tajwa hapo juu, mmenifungia laini yangu bila sababu za msingi, napiga 100 nakutana na matangazo yenu ya kuwaambia ndugu zangu wajiunge na mtandao wenu, please tupeni option ya...
Huu mkasa umetoka sehemu fulani hapa Dar,Polisi wamepewe nguvu kupita kiasa sasa badala kulinda wananchi na mali zao na wao kuwa ndio wa kulinda sheria za nchi sasa wao Polisi ndio wamekuwa...
Msomaji mkuu wa taarifa ya habari leo jioni ktk chnl 10 (mwanamama) alionyesha kituko kwa kuziba sehemu ya sura yake kwa nywele! Ingawa wahusika walirekebisha hali hiyo haraka, madhara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.