AJALI MBAYA: Fuso lapata ajali eneo la Mwidu (Njia ya Dar - Moro), kuna vifo

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,812
11,986
Kuna ajali mbaya imetokea muda wa saa 10 alfajiri ya leo eneo la Mwidu ktk njia ya Morogoro - Dar.

Kuna watu waliofariki. Ajali hii imepelekea foleni kubwa sana lakini traffic wanajitahidi kuruhu magari baada ya wanajamii kuitoa miili iliyokuwa imenasa kwenye fuso.

e9204a6e47fdc4550453722292f4e3ea.jpg
 
So sad!

Pole sana kwa waliofikwa na huu mkasa.

R.I.P waliotangulia Mungu wapokee na uwape makazi salama
 
Ajari hizi!!! Bora zingekuwa zinaharibu hivyo vyombo na bidhaa kuliko maisha ya watu.
 
Dah! Zamu ya kuondolewa Duniani inapofika huacha huzuni kwa wale wanaobakia.... Poleni kwa wafiwa wote... Pole pia kwa waliofariki huku wakiwa katika harakati za kujitafutia riziki kwa njia halali.
 
Saa 10 alfajiri? Lazima dereva alikuwa anasinzia maana gari imeacha njia kwenye mwendo mkali na kutumbukia korongoni. Hiyo force of impact ya kugonga miti ndiyo iliyowamaliza. RIP marehemu wote
 
Back
Top Bottom