tiGo hawajawahi kuacha kuonesha maajabu aisee...
unaweka 'jero' kwa simu yako ambayo haina internet (data off), haujapiga na hata kutuma SMS, lakini Salio linakwisha kwa mnunurisho..
Jamaa...
wakuu husika na kichwa cha habari,naomba kujua waliowahi kuishi au kufika ujeruman kukoje kiujumla
1_hali ya hewa
2_hali ya kiuchumi
3_ubaguz
5_maisha kiujumla
6_lugha
asanteni
Kuna usemi unakwenda hivi "miluzi mingi humpoteza mbwa" ikimaanisha kuwa hata mbwa mwindaji mzuri mkimpigia miluzi mingi huchanganyikiwa akashindwa kujua ni wakati gani akimbize ama achukue...
PUNGUZA MZIGO, PUNGUZA MARAFIKI FEKI PUNGUZA KABISA TENA WAPUNGUZE SANA TU;WAPUNGUZE ILI UWE MWEPESI
Punguza marafiki ambao ukiwaambia unataka kufanya kitu wanakujibu "utawezaaa?" Punguzaaaa...
Wakuu habari za asubuhi
Kwanza moja kwa moja naomba niseme wazi wazi serikali imechangia kwa asilimia kubwa taizo la usafiri nyakati za sikukuu
Mimi nikiwa kama mmiliki na mdau wa usafirishaii...
BURUDANI au kuburudika kupita kiasi hakujengi , ukifuatilia sana mtu anayeburudika sana ana uharibifu mkubwa .
Mwenye kuburudika kikawaida huwa hafikirii.
Mwenye shida ndiyo anafikiria.
Ndiyo...
AFFLUENZA ni ugonjwa unaosababishwa na watu wenye vipato,, kununua vitu hovyo hovyo , hata kama haitaji ,naweza kuwaita "" shopaholic" ,,,,,,
Kwa lugha nyingine tunasema wana shopping addiction ...
Waungwana habari zenu, leo hii jioni ya tarehe 26 December ambapo ni siku ya boxing day mida ya saa kumi na mbili na nusu kumetokea ajali mbaya ikihusisha gari aina Ya Suzuki(Kirikuu) iliyotokea...
Rais aliagiza watumishi takribani 59 elfu wapandishwe daraja kufikia mwezi wa 11 mwaka huu, na kuna barua ya katibu mkuu utumishi akiwaagiza maafisa utumishi warekebishe mishahara ya watu mwisho...
Vyanzo kadhaa vimedokeza kuwa TRA imesukumwa kuchukua hatua hiyo kutokana na wingi wa wageni mkoani Kilimanjaro, ambao wamechangia kuongezeka kwa biashara.
Moshi. Kwa wiki moja mfululizo...
Watanzania tuipende nchi yetu, tuweke kando ushabiki na itikadi zetu pembeni kwa ajili ya nchi yetu; huu ndio uzalendo.
Wamarekani wanao msemo -'America First ". Rais mmoja wa nchi alipata...
Wadogo zangu na waasa bila kujali itikadi zenu za dini, ni vyema basi mkajifunza kunywa bia mkiwa wadogo, either ni nyumbani, shuleni au vyuoni, popote pale kwenye sherehe zenu agizeni bia...
Startimes sasa hivi wamejirekebisha mno sasa mambo ni safi ispokua lazima ulipie ndo uone channels ila wamebadilika sana kiukweli wapo vizuri ila kwa sasa nataka continental
Vipi kwa watumiaji wa...
Natumai Mu wazima wa Afya,
Ni Mkurugenzi wa Taasisi ijulikanayo kwa Jina la Jikuze Business Solution Limited, Yenye makao makuu yake Mkoani Morogoro, Mtaa wa sabasaba, Karbu kabsa na Msikiti wa...
Wakati baadhi ya viongozi wa Serikali wakieleza kuwa wanafunzi wanaopata mimba watafikishwa mahakamani, wanaharakati na watetezi wa haki za binadamu wamesema hatua hiyo si suluhisho la kumaliza...
Jana katika Kanisa la Mtakatifu Paulo hapa Sheffield, baba paroko wa parokia yetu ya mtakatifu fransisko wa asisi ametusisitiza waumini kufanya toba ya kweli ili tumpokee mtoto yesu mfalme na...
Serikali ilipiga marufuku matumizi ya pombe aina ya viroba vilivyokuwa vinafifisha uelewa wa vijana wengi na uwezo wao wa kutambua lililojema na baya.
Pia; vijana hao kutumika kwa maslahi ya...
Nimeamk asubuhi nikakuta huyu mdudu yupo kwenye mawe jirani na mlango.... Nikiwa katika harakati za kutaka kumuua akatokea mwenyeji wa huku nilipo akadai huyo mdudu ni wa baraka nisimuue...