Huyu mdudu ana maana gani?

Huyu mdudu ana maana gani?

Wilhelm Johnny

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2016
Posts
1,369
Reaction score
1,337
Nimeamk asubuhi nikakuta huyu mdudu yupo kwenye mawe jirani na mlango.... Nikiwa katika harakati za kutaka kumuua akatokea mwenyeji wa huku nilipo akadai huyo mdudu ni wa baraka nisimuue, hakuishia hapo akaongezea kuwa huyo mdudu ana akili kuliko binadamu na wachina wanaongeaga nao kwa ishara.

Kuna yeyote anajua kuhusiani na huyo mdudu atueleze.
P71219-075930.jpg
 
Tisa december.

Kwakweli sijui kazi yake zaidi ya enzi nakua kumkuta ktk maua na kuanza kudai unammiliki.

Yaani kila siku unakuwa unamkagua na kumwangalia tu.
 
Nimeamk asubuhi nikakuta huyu mdudu yupo kwenye mawe jirani na mlango.... Nikiwa katika harakati za kutaka kumuua akatokea mwenyeji wa huku nilipo akadai huyo mdudu ni wa baraka nisimuue, hakuishia hapo akaongezea kuwa huyo mdudu ana akili kuliko binadamu na wachina wanaongeaga nao kwa ishara.

Kuna yeyote anajua kuhusiani na huyo mdudu atueleze.
View attachment 654917
Huyu mdudu ndio anaitwa parasite
 
kiukweli sijawah hata kumgusa huyo mdudu nliambiwa huwa haguswi kabisa natamani sana kumjua kiundani
Sababu gani haguswi bado kidogo nimuue ashukuru huyo raia,aliyepita akanip utambulisho kuwa hauliwi eti ni.baracka
 
Mngetueleza maisha yake tabia yake.... na upande wa kiiman anafanyaj kaz.... ingependeza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom