Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

To all members!!! Naomba kutoa shukrani zangu za dhati kwa kila Mmoja ndani ya jukwaa hili, Kila Mmoja kwa namna yake amechangia kwa kiasi kikubwa cha kuongeza maarifa na fursa katika Maisha...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Sitaenda Kanisani kuonyesha kupinga Ukimya wa "viongozi wa dini" kushindwa kukemea maovu ya awamu hii. Maadamu wajinga wa dini bado wanajazana kwenye majumba ya Ibada, sadaka zinatolewa, usalama...
7 Reactions
56 Replies
4K Views
Mtu anayeshukiwa kuwa muuza madawa ya kulevya alijipa krismasi asiyoitaka wakati aliingia kwenye teksi akiwa na karibu misokoto 1000 ya bangi na kugundua kuwa alikuwa ameingi kwenye gari la polisi...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Sehemu nyingi nchini wameweka hii mistari ya “Simama” (Stop lines) kwenye kila vivuko vya watembea kwa miguu. Japokuwa lengo ni zuri, pengine wahusika hawajafikiria vizuri hasara, usumbufu na...
4 Reactions
34 Replies
9K Views
WADAU NAOMBA KWA HESHIMA KUBWA SANA KUWASILISHA SALAAM ZANGU ZA BARAKA KWA WANA JF WOTE WAKATI TUKISHEREHEKEA KUZALIWA JWA MWOKOZI WETU BWANA YESU KRISTO. NISEME UKWELI KUWA NINA FURAHA YA AJABU...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Ukitembelea mkoa wa Iringa unakutana na visa vingi vya watu wa jamii ya Wahehe kuwa na hasira na kujinyonga kwa haraka.Hata humu makazini unaweza kukutana na mtu wa Uheheni akawa mpole lakini ni...
1 Reactions
21 Replies
20K Views
Nimatumaini yangu nyote mu wazima. Napenda tutumia muda huu kuwatakia sikukuu njema na yenye baraka tele. Hakika ni jambo jema hasa ukizingatia kipindi hiki kigumu cha uongozi wa zarau, kiburi na...
0 Reactions
0 Replies
572 Views
Kutokana na mitambo kutofanya kazi, shirika la usafirishaji Udart limeruhusu abiria kusafiri bure. Udart mmeonyesha ukomavu, sio habari za KQ vituoni hadi mitambo ikae sawa.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
0 Reactions
0 Replies
547 Views
Kanisa Anglikana dayosisi ya Dsm leo limefanya uchaguzi wa Askofu wake na kufanikiwa kumchagua Padre Sosthenes kuwa Askofu mpya anayechukua nafasi ya Dr Mokiwa aliyetumbuliwa. Source mimi mwenyewe...
1 Reactions
29 Replies
7K Views
Kamanda Bukombe amesema Fadhili alikodiwa na abiria juzi usiku waliotaka kupelekwa kijiji cha Pande na baada ya hapo hakuonekana tena. Tanga. Matukio ya utekaji na uporaji katika jiji la...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Wadau, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh Ummy Mwalimu anesema Watoto 10,000 huzaliwa wakiwa na maambukizi ya virusi vya ukimwi kila mwaka nchini. Mh Ummy Mwalimu...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Vyuma vinaendelea kubana na mpaka sasa baadhi ya waheshimiwa wameamua kusherehekea nje ya nchi,
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Naam wakuu kesho Mungu akijalia ni mwendo wa kilomita 600 kuikamata Kilimanjaro tayari kwa shughuli rasmi ya vikao vyetu vya mwisho wa mwaka. Ni muda ambao tunaenda kuulizwa tumefanya nini...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu habari zetu.nianze kwa kusema hivi. Poverty is not the state of material things, is the state of mind. It’s not the absence of the necessity of life, it’s a state of mind, Africa has the...
0 Reactions
5 Replies
722 Views
Tarehe 27/09/2017 Mishale ya saa 11 nanusu jioni, kuna dingi mmoja hivi makamu ya miaka 45 hivi, alikuja kwangu tukawa tunapiga story tofauti maana yeye nimtu wa story sana Sasa kwenye story...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
May the miracle of Christmas fill your heart with warmth and love. Christmas is the time of giving and sharing. It is the time of loving and forgiving. Merry Christmas to Everyone
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Niende straight kwenye mada husika. Kuna hii tabia ya kuongea na simu ktk halaiki ya watu, let's say mpo ktk daladala, unakuta mtu anaongea na simu yake masuala private ya nyumbani kwake kwa sauti...
0 Reactions
2 Replies
742 Views
Kama kichwa kinavyojieleza Hata siku moja usije ukamlaumu, kudhihaki,kumtukana au kumpa kejeli mtu wa aina hiyo ujue amepitia au anapita kwenye changamoto nyingi sana, swala linalopelekea...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamii yetu mara nyingi imekuwa ikikemea na kulaani tabia ya dada zetu kuuza miili yao kwa lengo la kujipatia fedha biashara ambayo hata serikali imekuwa ikiipiga vita na kuiilani. Si hivyo...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom