Msaada kuna noah nyeusi inanifatilia nyuma

Msaada kuna noah nyeusi inanifatilia nyuma

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,190
Reaction score
24,620
Wakuu kuna noah nyeusi inanifatilia nyuma toka saa 6
Nifanyeje mwenzenu maaana naogopa kupimwa mkojo
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kama wewe ni KE weka no zako PM nikufwate ulipo niwablock hao wenye noah...

Kama wewe ni ME pls pambana na hali yako
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Itakuwa ni yako unaletewa kutoka katika gawio la NOAH zetu za makinikia
 
Haaa haaaa . yaani nimecheka aiseee.

Mkuu, pole sana.

Kwa usalama wako, itelekeza gari yako kisha uombe rift kwenye hiyo Noah nyeusi.
 
Mkuu, [HASHTAG]#Kimsboy[/HASHTAG],

Kwanza hongera kwa kuweka avatar hii, maana ile ingine ya jana ilinitisha sana.

Kudos!
 
Naona wewe ni wakwanza kupata gawio la Noah za baba J.

Kama si gawio basi wanataka mkojo.
 
Back
Top Bottom