Jana katika Kanisa la Mtakatifu Paulo hapa Sheffield, baba paroko wa parokia yetu ya mtakatifu fransisko wa asisi ametusisitiza waumini kufanya toba ya kweli ili tumpokee mtoto yesu mfalme na masiha katika maisha yetu.
Hivyo mimi binafsi nimemaua kutubu, binadamu wote tuna dhambi na kwa kuwa tunajitanabaisha kama waumini , basi ukiambiwa katubu nenda katubu kwa imani yako. Nitashangaa viherehere watakaokuja kumpangia paroko wetu kuhusu kipi ahubiri na kipi asihubiri.
Ni uwendawazimu kuanza kumfanya mtu kuwa kama Mungu, wakati ni muumini tu.