Nataka kuhamia continental decoder, watumiaji wake niambieni ubora

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,990
17,879
Startimes sasa hivi wamejirekebisha mno sasa mambo ni safi ispokua lazima ulipie ndo uone channels ila wamebadilika sana kiukweli wapo vizuri ila kwa sasa nataka continental
Vipi kwa watumiaji wa continental decoder?Kisimbusi chao kwa sasa kina ubora? Nataka nikanunue cha continental
Vipi wana local channels
Vipi ubora wa picha ukilinganisha na ving'amuzi vingine
Vipi ubora wa picha za channel zao hususani zile za star bunge, star drama, star e, star tollywood, nk?Zina ubora wa hd?
Vipi vifurushi?
 
Nina mwezi sasa silipii king'amuzi cha startimes Sikielewi,, chanel chache halaf nyingi ni katuni ikitokea nikanunua kifurushi cha mwez haifiki mwezi kimekata.. Je hii ndio hali halisi ya startimes??
 
Back
Top Bottom