Kisansa nijiji linawatu million 11 na nijiji nisafi sana kuliko bongo licha ya vita na uchumi mbaya.je shida ninini kwa Bongo kuzidiwa na nchi zinazotoka nyuma yetu
Wana jamii habarini za pilikapilika za sherehe. Naomba tujadili hii mada kwanini watawala wengi hasa afrika hawapendi kukosolewa na watawaliwa ambao kimsingi ndo waajiri wao?
Mtu anayeshukiwa kuwa muuza madawa ya kulevya alijipa krismasi asiyoitaka wakati aliingia kwenye teksi akiwa na karibu misokoto 1000 ya bangi na kugundua kuwa alikuwa ameingi kwenye gari la polisi...
Huu utamaduni wa wachagga na baadhi ya makabila kurudi kwao wakati wa sikuku ya Christmas umekua gumzo kwa baadhi ya wengi na kujenga sintofahamu kichwani mwa wengi either kwa kukosa ufahamu wa...
Je ww umetoka kanda ya ziwa kama huyu mwandishi?
Au ni mchaga mwenzangu na upo moshi hapa sasaiv je uliwai kujisaidia kichakani na ile unamaliza kujisaidia uliangalia kilichochini ulikuta...
Naomba tulijadili hili jambo, katika Jiji la Dar sijui Mikoa mingine Kuna wauza matunda wengi wanauza matunda ambayo wamesha yaandaa tayari kwa kuliwa utaona jibaba anagonga matunda pale and then...
Merry Christmas kwa wana jf wote, kama kichwa kinavojieleza, naomba kama kuna mtu anaetokea mkoa wa tabora wilaya ya sikonge, please naomba tuwasiliane kuna mambo nahitaji kujua toka huko...
Uwiiii
Kweli shkamoo wachaga
Kuna nyomi haswaa msimu huu
Kutoka UK, USA, CHINA,JAPAN, S AFRICA, KENYA na nyumbani tz tunakusanyika kwa pamoja december hii
Kweli wachaga ni nomaa
Nipo marangu...
Wadau
Uhuru usio na mipaka kwa watoto ndiyo chanzo kikubws cha kuharibika kwa watoto wengi nchini. Wazazi wameombwa kutekeleza wajibu wao kwa kusimamia ipasavyo maadili kwa watoto.
Hayo...
Habari zenu wa JF,
Kuna tabia ambazo wageni wamekua wakifanya masebuleni mwetu na sisi kiukweli hatuzipendi ila tunashindwa kuwaambia coz ni mgeni unaogopa kumuuzi.
Baadhi ya tabia zinazonikera...
Inabainishwa Kobe huyo ndie kiumbe hai mwenye umri mkubwa kuliko yeyote Tanzania.
Arusha. Clocking 100 years of age is quite an accomplishment to you, but it is not a big deal...
*Yafuatayo ni baadhi ya mambo ambayo wanaume mnatakiwa mjirekebishe 2018*
1) *Utakuta mwanaume anasafisha chumba mara 7 kwa wiki*
_hayo ndiyo mambo tusiyoyataka 2018 mwanaume anasafsha chumba mara...
Habari zenu wakuu hivi ni jukwaa gani hapa jf unapendelea sana kulipitia kuliko mengine naanza na mimi napendelea sana kupitia jukwaa la International. Na habari na hoja mchanganyiko weka na ww yako
Wadau
Jeshi la Polisi linamshikilia Mkazi wa Manispaa ya Sumbawanga Mkoani Rukwa Ndg Joseph Pizo kwa kujifanya Daktari bingwa wa magonjwa ya binadamu. Daktari huyo feki inadaiwa amekuwa akitoa...
Heri ya Christmas wakukuu mm ni kijana Niko chuo mwaka wa 3 nmepitia masage za kaka zangu walionitanguria na wamemaliza chuo wakitegemea ajira sasa mm nmeona niombe mawazo yenu na ushauri Nina...
Hodi humu javini kama kichwa kinavyo jieleza mm nimwana Mufindi wilaya ambayo kuna kilimo cha chai, kahawa, miti ya mbao nk kuna viwanda vikubwa vya kuchakata hayo mazao kwa kiwango kisichotia...
Naweza kuwa na uelewa Mdogo kwenye hili, naona kama mabasi ya abiria yangetolewa kwenye zoezi la kupimwa barabarani. Mara nyingi kwenye maeneo haya kuna kuwa na foleni ndefu ambazo ni usumbufu...
Heri ya xmass wapendwa. Kama kichwa cha habari kilivyo,nataka mwakani nikasome postgraduate diploma chuo cha uhasibu Arusha,nilipoingia kwenye website yao nikaona kuna kozi inaitwa PD in...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.