Hapa jamvini kama kulivyo kwingine kokote watu walipo wengi hakukosi maneno yasiyo sanifu;
kuna makosa ya Typinng error, Lugha na hata makosa ya makusudi katika uandishi kama mtindo,
pia huwa...
Unajikuta kijana umesoma mpka chuo kikuu peke yako katika familia ambayo hakuna hata aliye na cheti cha kudato cha nne. Umemalza masomo unajishikiza kufnya kibarua ambacho utaweza kula tu na...
Naona ukimiya wa watumishi kuhusu madaraja,serikal ilihaidi mwezi 11/2017 kwamba italipa,mpaka leo hii kimiya,labda ni kwa baadhi ya mikoa,vp huko mlipo mmerekebishiwa au ni suala la kisiasa !!
Leo usiku wa saa sita nimeshangaa sana karibia dunia nzima imesimama kushangilia tarehe 1/1/2018, tv zimeonyesha miji mbalimbali ikilipuka kwa shangwe, watu wamepiga sana mafataki, azam...
Kuanzia Leo usafiri wa mabasi kutoka Dar kwenda MWANZA utaanza kwa ratiba ya kutoka stendi kuu SAA 11:00 alfajiri badala ya SAA 12:00 asubuhi.
Je nini maoni yako?
Scorpion ni mhalifu hatari ambaye amekuwa akifanya mambo mengi ya kinyama kwa watu na mali zao eneo la Buguruni na maeneo mengi ya jijini Dar na Tanzania kwa ujumla.
Wiki iliyopita alifanya...
Jana muda wa jioni hivi baada ya mhemhe za hapa na pale nilipata fursa na kwenda kupata upepo mwanana katika beach iliyopo Kawe maarufu kama KAWE beach, nilichokutana nacho ni hichi.
Kwa wadau...
Watu wanne akiwemo mzee wa miaka 60 ambaye ni raia wa Ujerumani wameuawa wakati wa kusherehekea mkesha wa mwaka mpya visiwani humo.
Mpaka sasa watu wanne wamekamatwa na Jeshi la Polisi...
Habarii Wakuu
Naomb Tushirikiane hapa Namna ya Kutengeneza Coktails Nyumban na pia kuambia Spirits Nzuri na Wale wa Ngumu Kumesa :D:D:D:D
Nianze na Mim Binafsi Nimetumia Henessy Jamson Abs Vodka...
Wapendwa nisiwachoshe hizi imani zingine za kufanywa watumwa na waliojipa dhamana ya kuwachunga binadamu, inapelekea watumwa wengi wa kiroho kuongezeka na huu ni mfano mchache...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.