Wapenda Spirits Tukutane Hapa

Wapenda Spirits Tukutane Hapa

Karimu123

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2015
Posts
243
Reaction score
114
Habarii Wakuu

Naomb Tushirikiane hapa Namna ya Kutengeneza Coktails Nyumban na pia kuambia Spirits Nzuri na Wale wa Ngumu Kumesa 😀😀😀😀

Nianze na Mim Binafsi Nimetumia Henessy Jamson Abs Vodka Teachers Campariii Morgan Niseme ukwel tu sijawah furahia nikaja Bombadier sijaipenda sana Nikaja Vile Vichupa Vidog kama KVant Valuer Vice Roy(One Of Favarite Until Leo) Uzuri wake Ni bitter Kidg ila Ukiweka Ice Bonge Moja ya Kinywa Bei yake 10-20,000Tsh Mil 375 Nataman Kuijua Coktail yake sana Nijitengeneze Nyumban sana

BIA HAPANA NYONGO NA HANGOVER Alafu Unaconsume Mingi wakat Spirit Kichupa Kimoja au 2 na Kiporo Lazma Kibakiiiii 😀😀😀😀😀😀😀

Wew Mwenzetu Tujuzane Msimu wa Sikuku Huu To Thorway Party Nyumban
 
Waiteress lete KVANT kubwa ya Baridii na Tonic water
 
Kwangu mimi kwa upande wa Scottish whisky my favorites ni black label, double black na Jameson. Upande wa vodka bado absolute vodka inanibamba. Ingawa hata k vant nayo sio mbaya.
Rum ni bacardi na captain Morgan. Brandy ni martel , Hennessey Bila kuisahau remmy Martin ziwe xo ama vsop ni poa tuu.

Bia ni Heineken ikisaidiana na kirikuu ya safari ya baridiiii
 
mi sinywagi huku nmeingia kwa bahati mbaya ngoja ntoke nkatafte uzi wa fanta na Juice kama upo
 
Nipo Guantanamo Mwanza , nmekuja kuwasalimia wadau , kuna bonge la cocktail subili nitakupa ingredients zake
 
Pombe unakunywa unakunja sura....! Sipendiii....labda kama nina stress nataka nilewe haraka nikalale....

Yaani vyuma vikaze na sura niikaze wakati nastarehe!!?

Kula Serengeti lite Mzee 1500 ulalage....ukizingatia na hali ya vyuma miaka hii
 
Am In Love With This But Nyongo Sasa
 
Kwangu mimi kwa upande wa Scottish whisky my favorites ni black label, double black na Jameson. Upande wa vodka bado absolute vodka inanibamba. Ingawa hata k vant nayo sio mbaya.
Rum ni bacardi na captain Morgan. Brandy ni martel , Hennessey Bila kuisahau remmy Martin ziwe xo ama vsop ni poa tuu.

Bia ni Heineken ikisaidiana na kirikuu ya safari ya baridiiii
Wewe tabia mbaya sana
 
Sio tukutane tu wakuu inatakiwa tupeane na offer maana vyuma vimekaza kinoma
 
daaah aisee nawatakia mwisho mwema tuu ifike kipindi mzichoke hizi spirit mi binafsi niliisha zichoka
 
Back
Top Bottom