This is getting so so serious !

This is getting so so serious !

Serikali kuyachunguza makanisa ili kujua ni ya kiMungu au kishetani ?? Ahahaha. This is only in Tanzania
ajabu zaidi aliyeyasema hayo sio mkuu wa mkoa wa Dsm alipo kakobe, ni mkuu wa mungu wa arusha huko...muislam ambaye hajawahi kuokoka akaujua ulokole na namna ya kuendesha ulokole, worse enough anaamini anaweza kuwaoditi walokole....kwa sababu tu ya kutakiwa kutubu, anajipendekeza aonekana anamtetea mkuu wake...mimi ningekuwa pombe hakika hawa vijana wanaojifanya kunitetea ningewaachisha kazi haraka kwasababu wanamfanya aonekana yeye ni mtu asieweza kujitetea hadi atetewe na vijana wadogo kama hawa tena wanaotukana matusi taasisi na imani za watu. full gospel ya kakobe ina malaki ya watu, all over the country halafu mtoto mdogo kama huyo anasimama anasema full gospel ni mamburura, wanaendesha kanisa kimburura, wanaweka kanda kakobe asipokuwepo as if alishawahi kuingia kuabudu kuona kanda,...yeye anajuaje pengine ni utaratibu ambao waumini wanaupenda kusikiliza hata kanda? anajuaje pengine hiyo ndiyo imani yake, mtu asiye muumini anataka kuwafundisha waumini namna ya kuamini?
 
Waanze kwanza kuichunguza Serikali ili kujua kama kuna wavaa hirizi kiunoni wanaoamini nguvu za gizani.

Mi hadi nimeogopa jamaa hawa sasa ni wazi kabisa wanatafuta balaa kubwa sana ktk hii nchi
 
wao wanaamini kujipendekeza na kumsapoti baba jesca, kumpa masifa ndio sio ushetani, ila kumsema baba jesca ndio ushetani...wamelewa madaraka hadi wanatia huruma. vijana wadogo wasio na hekima kama hawa hawafai kupewa nyadhifa kubwa namna hiyo.
 
hawa ndo wanalazwaga njee usiku pasipo kujijua wakiamka asubuhi wanajikuta wapo katikati ya uwanja watu wote wanamkodolea macho,vitu vingine hutakiwi kushabikia wala kutia neno yaache maana kwa tz kila kitu ni cha msimu kina kuja na kuondoka litapita hilo angalia lisipite na wewe...
 
Kwahiyo watamuuliza shetani "eti hili ni kanisa lako??", kweli ukitia mguu tu CCM na akili zako zote byebye na hata sijui ni kwanini, au ndio athari za ujamaa?
 
Kwa kuyajua kama ni ya kishetani, wamuulize anayemtaka watu waishi kama shetani
 
Vinyago walivyochonga wenyewe vinaelekea kuwatisha wenyewe.
 
Serikali kuyachunguza makanisa ili kujua ni ya kiMungu au kishetani ?? Ahahaha. This is only in Tanzania
Unashangaa nini kuna makanisa ya shetani pia hata wakati wa Yesu yalikuwapo makanisa ya shetani na pia ilitabiriwa!!
 
Ila kama aliyesema hivyo ni mwislam itakuwa siyo sahihi.....
 
Serikali kuyachunguza makanisa ili kujua ni ya kiMungu au kishetani ?? Ahahaha. This is only in Tanzania
Wavaa HIRIZI viunoni wanawaza kutofautisha kweli makanisa ya Mungu na ya kishetani.
 
Back
Top Bottom