Kuruhusu mifugo beach zetu ni sawa?

Kuruhusu mifugo beach zetu ni sawa?

livafan

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2016
Posts
2,994
Reaction score
5,667
Jana muda wa jioni hivi baada ya mhemhe za hapa na pale nilipata fursa na kwenda kupata upepo mwanana katika beach iliyopo Kawe maarufu kama KAWE beach, nilichokutana nacho ni hichi.
IMG_20171228_155725.jpg

IMG_20171228_155720.jpg

IMG_20171228_155701.jpg

IMG_20171228_155651.jpg

Kwa wadau wa mazingira na mamlaka zinazohusika na hili ,je ni sahihi kuruhusu mifugo kufika ktk maeneo haya ya public?
Msiinite central kujieleza,kama mnataka maelezo tuhojiane hapahapa.
 
Wapeni watu binafsi wafanye uwekezaji kwenye beach km hizi. Huwezi kukuta mambo kama haya. Sina hakika kama hapo ni kwa mwekezaji
 
Mimi nakaa maeneo ninayokaa Ni hivyo hivyo mifugo Kama ngombe na mbuzi wanazagaa mpaka kero.Hatukatai watu kufuga ila jamani waangalie na afya za watu wengine .Mbezi beach mpaka kawe yote hiyo utafikiri serikali imelala yote.Mimi jirani yangu anakera mpaka Basi kiss kada wa CCM mifugo inazagaa mpaka unatamani kulia .Tuna open space watoto hawawezi kucheza Tena kwani yeye na ngombe wake.Makonda uje na uku Basi au nayo wameruhusiwa Kama wamachinga
 
Jana muda wa jioni hivi baada ya mhemhe za hapa na pale nilipata fursa na kwenda kupata upepo mwanana katika beach iliyopo Kawe maarufu kama KAWE beach, nilichokutana nacho ni hichi.
View attachment 662854
View attachment 662855
View attachment 662856
View attachment 662857
Kwa wadau wa mazingira na mamlaka zinazohusika na hili ,je ni sahihi kuruhusu mifugo kufika ktk maeneo haya ya public?
Msiinite central kujieleza,kama mnataka maelezo tuhojiane hapahapa.
Mhemhe ndio nini kwanza?
 
Mimi nakaa maeneo ninayokaa Ni hivyo hivyo mifugo Kama ngombe na mbuzi wanazagaa mpaka kero.Hatukatai watu kufuga ila jamani waangalie na afya za watu wengine .Mbezi beach mpaka kawe yote hiyo utafikiri serikali imelala yote.Mimi jirani yangu anakera mpaka Basi kiss kada wa CCM mifugo inazagaa mpaka unatamani kulia .Tuna open space watoto hawawezi kucheza Tena kwani yeye na ngombe wake.Makonda uje na uku Basi au nayo wameruhusiwa Kama wamachinga
[emoji2] [emoji2] [emoji2] ,eti kisa kada wa Ccm, patamu apo
 
Mkuu unashangaa ng'ombe beach? Nenda fukwe za ocean road kuna na bomba la mavi kabisa ya wahindi wote mjini na uchafu wa hospital
 
Ng'ombe wa dar wanakunywa maji ya chumvi hakika kila kiumbe hubadilika kulingana na amzingira
 
Shidaa nini mzee ng'ombe kuwa beach ?hao ni viumbe wanaitaj kuthaminiwa
 
Back
Top Bottom