Maguge Maguge
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 2,734
- 1,781
Hapa jamvini kama kulivyo kwingine kokote watu walipo wengi hakukosi maneno yasiyo sanifu;
kuna makosa ya Typinng error, Lugha na hata makosa ya makusudi katika uandishi kama mtindo,
pia huwa kuna kukosoana ktk yote hayo;
lakini tunachokomalia zaidi ni makosa ktk matumizi ya kiingereza; je hii ni sahihi na si kujivika uzungu?
tukosowane kwa staha, wala usijione bora kwa kujua kizungu maana na mimi najua kichina, au kisukuma hata kigogo ila we hukijui!
Sipendi vitabia uchwara hivyo!!