Wakifungiwa tena utawalipa wewe mishahara?Nawashauri wasiogope, wafanye kazi kwa ukweli, ujasiri, na kuzingatia sheria, kufungiwa kwa hiana gazeti ni tukio baya ila kuna watu pia hufungwa hadi kifungo cha maisha kwa hila tu!
" wiruka ibhikwirukana, ntiwokwiruka ibhikwirukamwo"
Elewa kiswahili " na kuzingatia sheria"Wakifungiwa tena utawalipa wewe mishahara?
Sasa wakizingatia sheria watafungiwaje?Elewa kiswahili " na kuzingatia sheria"
Hakuna gazeti hata moja ambalo linaandika habar zake bila kufuata sheria . Sema sheria unayosema na kutaka wewe na watu wenye akili kama zako, wanataka magazeti yaandike mazuri yao tu. Yakiandika vinginevyo uchochezi! Kaa ukijua kuwa uhuru hauna mipaka! Sheria za vyombo vya habar kwenye nchi za kidemocrasia, zipo kwa ajili ya kulinda habar mbaya tu na wala sio nzuri.nzuri haziwezi kulindwa kwakuwa zinapendeza. Walaji wa habar ndio wenye mamlaka ya kuamua kipi wale na kipi wasile sio msemaji wa serikali mana huyo anaiwakilisha serikali.Sasa wakizingatia sheria watafungiwaje?
Yakiandika uzushi yatafungiwa tu. Hakuna kanuni za ufipa hapa.Hakuna gazeti hata moja ambalo linaandika habar zake bila kufuata sheria . Sema sheria unayosema na kutaka wewe na watu wenye akili kama zako, wanataka magazeti yaandike mazuri yao tu. Yakiandika vinginevyo uchochezi! Kaa ukijua kuwa uhuru hauna mipaka! Sheria za vyombo vya habar kwenye nchi za kidemocrasia, zipo kwa ajili ya kulinda habar mbaya tu na wala sio nzuri.nzuri haziwezi kulindwa kwakuwa zinapendeza. Walaji wa habar ndio wenye mamlaka ya kuamua kipi wale na kipi wasile sio msemaji wa serikali mana huyo anaiwakilisha serikali.
Yakiandika uzushi yatafungiwa tu. Hakuna kanuni za ufipa hapa.
Acha upuuzi wako wa ufipa wewe.Hakuna gazeti lililowahi kuandika uzushi na mwenye mamlaka ya kujua kuwa huu uzushi au sio ni mahakama na sio msemaji mkuu wa serikali nakushangaa badala ya kujibu hoja unakimbili ufipa.kwani ufipa sio Tanzania? Kweli wewe akili zako zimeshambuliwa na magonjwa mtambuka
Wewe una upuuzi wa ikulu ya magogoni wa kuogopa hata vibwenzo vya kipanya.Acha upuuzi wako wa ufipa wewe.
Hebu anzisha gazeti lako uandike upuuzi unaoutaka, usinipotezee muda hapa.Wewe una upuuzi wa ikulu ya magogoni wa kuogopa hata vibwenzo vya kipanya.