Nini kipya kwenye mwaka mpya???

Nini kipya kwenye mwaka mpya???

gwangaeto

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2017
Posts
653
Reaction score
766
Leo usiku wa saa sita nimeshangaa sana karibia dunia nzima imesimama kushangilia tarehe 1/1/2018, tv zimeonyesha miji mbalimbali ikilipuka kwa shangwe, watu wamepiga sana mafataki, azam wamemkatisha aslay kuimba ili tu kupisha mwaka mpya, nkawa nashangaa hawa wenzangu wanashangilia nini.

Nkajiuliza hivi kuna nini kipya tarehe 1/1???!!! Madeni tunaamka nayo, magonjwa tunaamka nayo, njaa tunaamka nayo, hakuna kipyaa...

Jamaa mmoja akanitumia meseji 'happy new year', nkamuuliza kwanini unasherehekea mwaka mpya, akasema kwa sababu ni tarehe 1/1/2018, nkamwambia ebu fikiria kama hakukuwa na karenda, ungejuaje kama leo ni mwaka mpya??? Akajibu duuu sijawahi kufikiria hivyo. Nkamwambia fikiria tena kama mwaka mmoja ungekua na miezi millioni moja, akajibu mpaka sasa tungekua bado hatujamaliza hata robo ya mwaka.

Nkamwambia ndo ivo sasa, hakUna kipya kwenye mwaka mpya, jua litachomoza asubuhi na kuzama jioni kama siku zote, kama una madeni yako pale pale, magonjwa yako palepale, njaa iko pale pale, kwa hiyo punguzeni kufurahia ujinga.
 
Lazima una stress za vyuma.Wewe hukuzaliwa ulivyo ulianza mtoto kabisa tena mchanga na mkiwa maana hakuna aliyejua kwa hakika una hisia gani.Ni kupitia asubuhi mchana jioni na usiku umekuwa ulivyo sasa mbona hukubaki ulivyokuwa wakati unazaliwa?Si kila mabadiliko yanaonekana kwa macho mengine hupimwa kwa kuangalia matokeo yake.Hata kwa Mungu kuna majira na nyakati nazo hupimwa ili kufaa kukamilisha jambo fulani
 
Back
Top Bottom