Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tani 16 za samaki aina ya Sangara zilizovuliwa na kukaushwa kinyume na sheria kinyume wamekamatwa kisiwa cha Rubili kata ya Mazinga wiayani Muleba kufuatia msako wa kushtukiza uliofanywa na...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari za leo wana JF. Poleni kwa mihangaiko ya kutwa nzima. Leo tunaelekea kuuaga mwaka 2017 na kuukaribisha mwaka 2018. Pamoja na majukumu mengine, Azam Media wameandaa kitu muhimu,mahsusi na...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Imeelezwa ukosefu wa fedha za kununulia mbegu kwa wakulima Kiteto utafanya walime kilimo kisichokuwa na tina.. Hayo yameelezwa na baadhi ya wakukima baada ya mvua kuanza kunyesha na kuhitaji...
0 Reactions
1 Replies
695 Views
Kwanza tujue kuwa kuna tofauti kubwa kati ya kutekwa na kukamatwa.Swala la masudi kipanya tusiliendeshe kisiasa kama wenzetu wa ufipa wanavyotaka liwe tusiwe watu wa negative thinking mda...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
habari wanajamvi, Kutokana na inavyoaminika ya kwamba huu ni mwaka mpya wa 2018 japo mimi siamini hivyo lakini napenda basi believers wote wafanyie kazi nitayoongea. Kwanza kabisa mimi ni...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Kenya national dialogue expected any time now THE EAST AFRICAN Saturday December 30 2017 Leaders representing different faiths addressing the media under the umbrella Multi Sectoral Forum when...
0 Reactions
2 Replies
805 Views
Kaka na dada wakuu Kwa vijitabia hivi hawa watu bado wapo mwaka 2017 na wanahitaji toba ili waweze kuingia mwaka 2018. Tuanze kuwekana sawa sasa.. Binafsi wale wote ambao hawajaacha michepuko bado...
0 Reactions
4 Replies
836 Views
Habari za asubuhi wakuu......na Heri ya Mwaka Mpya 2018. Kama Uzi unavyojieleza hapo juu wale ambao mmeanza mwaka vibaya tuseme kwanini tumeanza mwaka Vibaya ili tujue namna ya kuendelea Salama...
0 Reactions
1 Replies
778 Views
KAKOBE AWAJIBU T.R.A. "Wokovu unaitwa ni utajiri usiopimika. Sasa usije ukayatafsiri kama upendavyo" Waefeso. 3:5-8 "Tafuta mradi wowote wa Kakobe Tanzania nzima, na ukiupata, nitakupa zawadi...
8 Reactions
24 Replies
4K Views
Naombeni ufafanuzi jamani, niliagiza gar aina ya coralla runx mwez 12, 2017. Wakati naangalia ushuru kwenye caluculator ya tra nilikuta gar lina ushuru wa 5.1m.....lakin leo tarehe 1 nmeangalia...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Viongozi wa dini Kiteto mkoani Manyara wameaswa kupima maeneo ya nyumba za ibada na kuyawekea uzio kuepuka migogoro..
0 Reactions
0 Replies
586 Views
Kherini ya mwaka mpya wapendwa! Bila kupoteza mda na kuwachosha kwa Maneno meengi,naomba msaada wa majibu ya swali hapo juu,hii ni baada ya kupoteza mayai yangu kwa awamu mbili mfururizo,mwanzo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Leo Decemeber 31, 2017 makanisa 150 ya kanisa Katoliki yamewataka waumini wao kuitikia wito wa kuandamana wakiwa na biblia mkononi ili kushinikiza kutekelezwa kwa makubaliano yaliyotiwa saini...
7 Reactions
52 Replies
7K Views
1.eddie grifin 2.chris rock 3.eddie murphy 4.dave chapelle 5.steve harvey 6.cat williams 7.kelvin hurt 8.mike epps 9.chris tucker 10.monique Hawa ni nuksi,...samahan pilipili na wenzio naomba...
10 Reactions
86 Replies
8K Views
Anaandika (kwa lugha nyepesi na rahisi mno kueleweka) baba padre Titus Amigu, padri wa jimbo katoliki Lindi Tanzania na mwanateolojia mtaalamu wa maandiko matakatifu (PhD-Holy scriptures) na...
2 Reactions
5 Replies
4K Views
Walter Habari imekuletea Matukio ambayo yameacha alama katika soka. Simba, Yanga, kubadili mfumo wa uendeshaji wa vilabu vyao Kubadilisha uendeshaji wa klabu kutoka uanachama kwenda mfumo wa...
0 Reactions
0 Replies
873 Views
Kesho au kesho kutwa kuna tamko litakalowataka wamuachie mwandishi ili kuwaonesha wananchi kuwa hakuna udikteta. So hii kitu imetengenezwa kimkakati zaidi kufuta hisia za wananchi kuwa hakuna...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom