Mjadala ulikuwa moto sana sasa labda wameona comments zinaweza kuadhiri mambo fulani fulani. Vyovyote iwavyo sababu wanaijua wao walioshika "mpini".Ni wakati gani/sababu zipi zinafanya thread isomeke: "Thread Status: Not open for further replies".
Naona thread ya kipanya imedhibitiwa, je kuna nni?