Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

MSHINDI wa Tuzo ya Amani ya Nobel kutoka Kenya, Profesa Wangari Maathai, amefariki dunia katika Hospitali ya Nairobi alikokuwa akitibiwa ugonjwa wa saratani. Maathai, aliyeshinda tuzo hiyo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jana Tanroads wametimiza azma yao ya kuvunja msikiti wa kimara mwisho, msikiti wa Kirumbi. lililkuwa tukio la aina yake, ambapo watu wengi walionekana kufuatilia kinachoendelea, huku wakiwa...
26 Reactions
116 Replies
15K Views
Mpaka naweka huu uzi yamenikuta na nimeshindwa kuvumilia. Hi huduma ya simbanking ni hovyo mno kuliko nilivyokua nafikiria, nina visa viwili nitawaambieni. Kuna siku nilikua nimekwama sana...
7 Reactions
29 Replies
4K Views
Wakuu kama kichwa cha habari kilivyo, nimesoma post kadhaa humu zinazozungumzia ukuu wa kanisa katoliki na wao ndio wanaamua nani awe raisi wa nchi yoyote duniani.... Wakati huohuo kuna story...
2 Reactions
1 Replies
3K Views
Unajua jamani radi ni kubwa balaa huku kwetu ila nikingalia t.v na taarifa za radia, sioni msisitizo ukilingana na ukubwa huu, Huko tanga nako naambiwa kuna mama amefariki jana kwa Radi...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Siku ya leo Mbunge wa Singida Mashariki, Mheshimiwa Tundu Lissu ameongelea tukio la kupigwa risasi zaidi ya 30 miezi 4 iliyopita mjini Dodoma. Hiyo ni habari kubwa sana kwa chombo chochote cha...
9 Reactions
103 Replies
9K Views
Declaration of interest:Halotel ni mmoja ya mtandao ambao kwa upande wa internet wanafanya vizuri sana kwa hapa Tanzania.kwa hilo nawapongeza Huwa na tabia ya kutumia chip ya halotel nikiwa na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwaka imeshuhudiwa idadi kubwa ya wachaga wamerudisha mpira kwa kipa yaani wamerudi kwao Inadaiwa kuwa zile zama zao za kuishi kama wafalme kutikiswa hivyo kuamua kurudi kwao kujipanga upya kwa...
2 Reactions
75 Replies
9K Views
Kwa mujibu wa chombo kimoja cha habari star times imepigwa faini ya TSHS mil.100 kwa kuendelea kutoza gharama kwa chanel zote zinazotakiwa kuonekana bure.Chaneli hizo ni kama vile ITV,STAR...
5 Reactions
122 Replies
15K Views
Siku hizi imekuwa kama ni fasheni kumsikia mtu akisema "sikusikii vizuri, ngoja nipige tena", hivi hii ni halali kweli?!, tunatoa hela halali kununua vifurushi, ila huduma ni mbovu, na wananchi...
1 Reactions
4 Replies
876 Views
Nimeona orodha ya Taasisi sugu zinzodaiwa kutokupeleka majina ya waajiwa wao wanaodaiwa na bodi.Orodha ndogo niliyoiona ndiyo imenifanya nione hawa jamaa hawafikiri vizuri. Kama wana sababu...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za asubuhi mabibi na mabwana, Nimelazimika kuweka bandiko hili jukwaani ili niweze kupata japo ufahamu kidogo juu ya hizi taasisi za mikopo zinavyofanya kazi. Kumekuwa na sintofahamu huku...
0 Reactions
47 Replies
13K Views
Huu ni mwaka wangu NNE nikifatilia kipindi chako kupitia star TV! Kwa Mara nyingi umekuwa ukimwalika ndgu mmoja ajulikanae kwa jina LA Moses huyu ni mm hunifanya nisiangalie kipindi hiki kwa...
0 Reactions
5 Replies
970 Views
Muda huu kuna Mvua kubwa Inaonyesha ikiambatana na barafu (mawe) Katika eneo la Karibu na nilipo miti imeangushwaaa. Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
1 Reactions
66 Replies
8K Views
Hodi humu ndani, Kwanza,Napenda kutoa pongezi kwa vijana walio chini ya kamati ya ulinzi wa abiria na usalama ktk kituo cha daladala cha makumbusho,mpaka sasa nipo hapa nafanya simple research ya...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu habari za wkend, naomba mnisaidie ilipo ofisi ya Mkuu wa Wilaya Kigoma Vijijini.
0 Reactions
1 Replies
850 Views
Mimi Na wenzangu tumeamua kutoa msaada wa nguo kwa ajili ya mahabusu walioko kwenye magereza mbalimbali. Naomba kujulishwa utaratibu ukoje. Asante sana. CC:- Mentor
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Back
Top Bottom