Mafuriko ya wachaga moshi...baba jesca shikamoo

beco

JF-Expert Member
May 7, 2013
1,339
782
Mwaka imeshuhudiwa idadi kubwa ya wachaga wamerudisha mpira kwa kipa yaani wamerudi kwao
Inadaiwa kuwa zile zama zao za kuishi kama wafalme kutikiswa hivyo kuamua kurudi kwao kujipanga upya kwa namna mbali wenye kutambika ,wenye kushtaki kwa vibibi wenye kupanga mikakati kabambe juu ya 2020 woote wamerundikana
Yesuu na maria huyu bwana atatuo vibyongo (madili tupa kule)
 
546d55a6d8bdf4566948b4fddc614e11.jpg
 
Noumaa.....com ۰۪۫S۪۫۰۰۪۫a۪۫۰۰۪۫n۪۫۰۰۪۫a۪۫۰۰۪۫a۪۫۰۰۪۫a۪۫۰
 
Wewe Acha Mambo Ya Ajabu Mimi Nimezamia Huku Tangu Jana Niko Migombani Tunakula Nyama Choma Tu Vyupa Ndiyo Usiseme Na Sirudi Mpaka Januari 5 Tunarudi Kupambana Mwanza
 
Waswahili wa pwani ni watu wa ajabu sana.

Wao ni singeli,fitina, vigodoro na vijembe tu...sio Baba, sio mama sio watoto.

Waarabu waliowaachia minazi waswahili waliwaharibu sana.

Ni bora kupatner na mhadzabe kuliko na waswahili.
 
Utakuwa manka orio ww
 
We laki si pesa Akukope hela wakati unaomba hata hela ya kula shenzi kabisa Wala statuz yako haifanani we ni lofa wa matumiz
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom