Morogoro: Mvua ya Mawe yanyesha muda huu

Morogoro: Mvua ya Mawe yanyesha muda huu

Poleni sana huko, niliwahi kushuhudia hiyo mvua ya mawe maeneo ya Isongole pale Mbeya mazao yaliharibiwa sana na barafu.
 
Hayo mawe itabd tuyatumie kujenga barabara(kubana matumiz)
 
Mi naona mnaongea wenyewe tuu, nipo dilemma

Fanya kutupia picha au videoclip tuone mnacho kisema kina ukweli gani
 
Back
Top Bottom